BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,496
- 14,114
Wibu au ni ujinga tafuta kokote kule bata kwenye nchi za kikomonist kama kuna huu ujinga, huu unafanyika kwa Taifa la wajinga wasio jitambuaPunguza wivu mtoto wa kiume
Hapo sasa shabiki wa CDM aingie kwenye hafla yoyote ya simba na bendera ya CDM, utaona matamko yatatoka kwenye mamlaka zote, hadi viongozi wa dini watatakiwa watoe matamko kuwa tusichanganye soka na siasa.Nchi ina upuuzi sana hii
Wibu au ni ujinga tafuta kokote kule bata kwenye nchi za kikomonist kama kuna huu ujinga, huu unafanyika kwa Taifa la wajinga wasio jitambuahapo
Mbona mbowe ni YANGA ..usemi nae kaingiza YANGA kwenye siasa. Au kwakuwa hajaenda kupokea.Hapo sasa shabiki wa CDM aingie kwenye hafla yoyote ya simba na bendera ya CDM, utaona matamko yatatoka kwenye mamlaka zote, hadi viongozi wa dini watatakiwa watoe matamko kuwa tusichanganye soka na siasa.
mimi sioni shida maana kuna walioshika maua yao ,wana ccm na wengine wako na jezi isitoshe ni wananchiinasikitisha sana maana mashabiki wa Yanga ni wa itikadi mbali mbali daah
chadema si ipo kwenye operesheni 255 nani kawazuia wasije kuwapokea yangaHapo sasa shabiki wa CDM aingie kwenye hafla yoyote ya simba na bendera ya CDM, utaona matamko yatatoka kwenye mamlaka zote, hadi viongozi wa dini watatakiwa watoe matamko kuwa tusichanganye soka na siasa.