Mimi nafikiri hata petition iwe kwa siri!!
Hicho ndicho kitakachofanyika, we imagine kama sahihi za wazi zimewekwa na wabunge tuliokuwa hatutegemei kama Mkono itakuwaje kura ya siri.kama ni ya siri basi ni vyema wabunge wa magamba wafanye kama wanavyofanya wapiga kura. kula ccm kura kwa chadema
View attachment 52575Kumbe naye yumo!
Kumbe ndiyo maana anakiua chama chama chaooo!!!!!!
maana ya kulishwa yamini na maelezo ulotoa no correlation ndugu.
Hahahahhaaaaa safi sana mkuuView attachment 52575Kumbe naye yumo!
Kumbe ndiyo maana anakiua chama chama chaooo!!!!!!
Mkuu nimecheka mpaka nimeamua kwa furaha ku log-in immmmediatelyyyyyyyy
Hahahahhaaaaa safi sana mkuu
Tatizo lako ni uchu tu wa hela za Nape, wewe umetoka Kishumundu juzi tu umekimbilia ukibaraka hata kiswahili hujakijua vizuri. Yamini ni makubaliano ambayo hatakiwi mtu aliyeyaingia kuyakiuka kwa namna yoyote, iwe hadharani au sirini otherwise lazima atapatwa na mabaya kama atayakiuka. (Kapa Nguma!)maana ya kulishwa yamini na maelezo ulotoa no correlation ndugu.
Hahahaa ameanza mazoezi ya peoples power inabidi aanze na alama hii ya V ile ya ngumi ameshaizoea.View attachment 52575Kumbe naye yumo!
Kumbe ndiyo maana anakiua chama chama chaooo!!!!!!
View attachment 52575Kumbe naye yumo!
Kumbe ndiyo maana anakiua chama chama chaooo!!!!!!