Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,378
- 139,286
UKAWA wanahali ngumu mno, spidi ya Dr Magufuli imewapoteza kabisa, kwasasa hawajui wasimamie hoja ipi? ya ufisadi ishakuwa kaa la moto, basi wamekuwa ni watu wa matukio tu, sioni hata haja ya uchaguzi wa Raisi 2020
Inachekesha sana kuona CCM walijivua nguo kwenye yote isipokuwa ishu za katiba pendekezwa na urais wa zenji.
Ni lipi lingine ambalo wapinzani hawakuwahi kulalamika kwenye bajeti zao.Aje mtu hapa aseme.
Wote tunakumbuka kelele za kina Slaa kuhusu safari za nje,CCM wakakebehi.
Nini ulikuwa msimamo wa Mbatia kuhusu elimu bure wakaulizwa hela mtatoa wapi.
Mnyika alihoji sana kuhusu sheria ya manunuzi,CCM walipiga kura za ndiooo.
Wamesahau uchambuzi wa Kafulila kuhusu viwanda na ukusanyaji wa mapato.Alionekana anaongea mambo ya kufikirika.
Lema aliwahi kumwambia Kikwete ampe majina ya wauza madawa awataje, ikaonekana nchi itayumba.
Ile clip ya Msigwa je kuhusu akili ndogo kuongoza akili ndogo.
Tundu Lissu na ulalamishi wake kwenye sheria mbovu na muundo wa muungano.Leo hii ya Zanzibar yanawaumbua.
CCM leo wanashangilia kuramba matapishi bila aibu.Na Mungu alivyo hapendi wanafiki mnaweza msitimize hata moja.

Aisee halijatimizwa hata moja unaanza kushangalia ahaaaa.....! Ungekuwa demu wanaume wangejinufaisha kwa kutoa ahadi nzuuri hahahahah......
Mtajuta Na umbulula wenu mwakahuu mmeshikwa pabaya ACT;-TAIFA KWANZA
Na Bahati mbaya hata hayo matukio hayana nguvu watu wanawadharau hahaha
ACT;-TAIFA KWANZA
Inachekesha sana kuona CCM walijivua nguo kwenye yote isipokuwa ishu za katiba pendekezwa na urais wa zenji.
Ni lipi lingine ambalo wapinzani hawakuwahi kulalamika kwenye bajeti zao.Aje mtu hapa aseme.
Wote tunakumbuka kelele za kina Slaa kuhusu safari za nje,CCM wakakebehi.
Nini ulikuwa msimamo wa Mbatia kuhusu elimu bure wakaulizwa hela mtatoa wapi.
Mnyika alihoji sana kuhusu sheria ya manunuzi,CCM walipiga kura za ndiooo.
Wamesahau uchambuzi wa Kafulila kuhusu viwanda na ukusanyaji wa mapato.Alionekana anaongea mambo ya kufikirika.
Lema aliwahi kumwambia Kikwete ampe majina ya wauza madawa awataje, ikaonekana nchi itayumba.
Ile clip ya Msigwa je kuhusu akili ndogo kuongoza akili ndogo.
Tundu Lissu na ulalamishi wake kwenye sheria mbovu na muundo wa muungano.Leo hii ya Zanzibar yanawaumbua.
CCM leo wanashangilia kuramba matapishi bila aibu.Na Mungu alivyo hapendi wanafiki mnaweza msitimize hata moja.
Inachekesha sana kuona CCM walijivua nguo kwenye yote isipokuwa ishu za katiba pendekezwa na urais wa zenji.
Ni lipi lingine ambalo wapinzani hawakuwahi kulalamika kwenye bajeti zao.Aje mtu hapa aseme.
Wote tunakumbuka kelele za kina Slaa kuhusu safari za nje,CCM wakakebehi.
Nini ulikuwa msimamo wa Mbatia kuhusu elimu bure wakaulizwa hela mtatoa wapi.
Mnyika alihoji sana kuhusu sheria ya manunuzi,CCM walipiga kura za ndiooo.
Wamesahau uchambuzi wa Kafulila kuhusu viwanda na ukusanyaji wa mapato.Alionekana anaongea mambo ya kufikirika.
Lema aliwahi kumwambia Kikwete ampe majina ya wauza madawa awataje, ikaonekana nchi itayumba.
Ile clip ya Msigwa je kuhusu akili ndogo kuongoza akili ndogo.
Tundu Lissu na ulalamishi wake kwenye sheria mbovu na muundo wa muungano.Leo hii ya Zanzibar yanawaumbua.
CCM leo wanashangilia kuramba matapishi bila aibu.Na Mungu alivyo hapendi wanafiki mnaweza msitimize hata moja.UKAWA hatuna haja ya kushabikia maneno we need actions.Tupo makini na tutazidi kuwaonyesha njia za kupita.Tunajipongeza kuwaokota mlipokuwa mmepotea na kuwaweka sawa kuelekea kwenye peak.Niwashauri mtunze akiba ya maneno msubiri vitendo kwanza!!!Acheni ushabiki mandazi jivikeni ujasiri wa kuhoji pale mtakapoachwa ferry
CCM msijidanganye,Haijawai kutokea haramu ikazaa halali, Mara zote haramu huzaa haramu na halali huzaa halali. Rais wetu Magufuli Ana nia njema, lakini hajaingia ikulu kihalali.kwa hali hiyo hawezi kufikia ambition zake kikamilifu.Hiyo ni kanuni ya asili,ikivunjwa maana yake hakuna Mungu.
Huwo msemo inabidi uupeleke chadema ambako fisadi Lowasa alipewa ugombea uraisi ndani ya masaa mawili kinyume na Katiba na utaratibu wa chadema hali iliyopelekea hata Mzee Slaa na Lipumba kujiuzulu, hivyo kama unaongelea karma ya dhuluma basi ni wazi kwamba imewarudia chadema kwa maana wamekataliwa vibaya na watanZania!