nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,919
- 2,520
CCM ina mambo yake yanakosolewa na watu ila kuna jambo moja wamelipatia sana, ambalo vyama vingi barani afrika vimefeli
nalo ni kujenga chama ambacho kinamjumuiko (inclusivity) ya watanzania karibu jamii zote
CCM ni chama cha matajiri, maskini, wasomi, wajinga, waislamu, wakristo, wahindu, mabaniani hadi washirikina,
wa kaskazini kusini mgharibi na mashariki, waluguru, wahaya, wanyakyusa hadi makabila tusiyowahi yasikia, waafrika weusi hadi wahindi na waarabu
vyama vya upinzani tz havina nguvu sababu wanabakiwa na hoja moja tu ya maendeleo, maendeleo ambayo ccm pia inayafanya kwa uwezo wake, tofauti na nchi nyengine ambapo vyama utakuta ni vya kikabila, kidini au kirangi matokeo yake uchaguzi ukija ni rahisi kuleta upinzani maana chama kinakuwa na jamii yake inayokisapoti
tz ukianzisha chama kikabila ama kidini jua hicho chama kitafeli maana li ccm lina kila aina ya mtu, chini ya CCM ni ngumu kumwambia mtanzania kuwa jamii yake inabaguliwa maana mtu akitazama kwa makini anaona mifano ya watu wa jamii yake wakiwa wamo ndani ya hiyo ccm
kwa hilo tu kongole kwa CCM