inspector laddy
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 761
- 258
Mimi ni mkristo mkatoliki nalijua kanisa langu kwa undani kabisa. Masimamo wa kuipinga tume ya WARIOBA ni shinikizo la KARDINALI Pengo kwa maslahi ya kanisa katoliki huko Zanzibar. Ni kweli matukio mabaya yamefanyika na serikali ya CCM kushindwa kuyashughulikia na hata kutoa majibu. Kumekuwa na juhudi ZA kuidhibiti zaidi Zanzibar. Tukumbuke JK alishawambia CCM wajiandae kisaikolojia kupokea serikali 3 na kusaini rasimu zote. Mnajiuliza maswali nini kimetokea na Watu kubadilika ghafla hata wale waliokuja pamoja mfano wajumbe wenye nguvu wa Zanzibar ? Nawapa jibu hapo. Binafsi nimewaelimisha viongozi wangu wa dini falsafa ya ukristu ya kwenda pole pole kama alivyoshauri Gamaliel kwenye kitabu cha matendo ya mitume. Kuikandamiza Zanzibar sio kuimarisha ukristu . Kama alivyolia LYatonga MRema 2005 kwa KIlaini na Mimi nalia Leo kwa Askofu wangu KARDINALI Pengo. Umeiharibu Tanzania. Amani kwanza serikali baadae.

Kuna watu mnaicheza amani ya wananchi kwa njia zozote kwa sababu ya kutaka kutimiza malengo yenu maovu.
Mnadhani kuwagawa Watanzania ndiyo kutawafanya mpewe kura au ikishindikana basi mtawale kwa ncha ya upanga.
Haitatokea kwa sababu watanzania wanazipuuza hizi agenda zenu.
kard.Pengo anachokipigania haswa ni amani na mshikamano miongoni mwa watanzania..unaposema aende zake huko kwao wapi!!? 2mia busara mkuu!!Pengo nae aachane na mambo ya siasa bhana yeye ni chanzo.kama ameshindwa kuchunga mapadre wake aende zake huko kwao.mimi nimkatoliki pure.
Pengo nae aachane na mambo ya siasa bhana yeye ni chanzo.kama ameshindwa kuchunga mapadre wake aende zake huko kwao.mimi nimkatoliki pure.
Yanmkini hapo kuna ukweli. Binafsi sikufulahishwa na kuweka wazi msimamo wake. Na kwa kuwa yeye ni kiongozi mkuu wa dini na dini kubwa, kama ilivyo sentesi inayotolewa na Mh Rahis mahali popote pale haijalishi ni mahali gani, kichama au serikali, inachukuliwa kama agizo kwa watu walioko chini yake. Kwa mantiki hiyo hiyo na kwa vyovyote vile tamko la Kadinali Pengo na lilivyotangazwa na vituo mbali mbali vya habari, msimamo wake yamkini ulitafsiriwa na serikali kama ni tamko la kanisa.
Toa ushahidi kwa hili linalosemwa....Wakatolic ni ma empire makubwa. Mambo ya ujasus wanayajua sana. Hiyo ndo sera yao. Mm ni mkristu nawajua sana. Hilo linalosemwa lipo ndo mana wenzetu waisilamu kila ckuhulia na mfumo kristo. Na hii itakuwa ivo daima. Mfumo kristo ndo upodunian nw so ni kweli lisemwalo.
Hakuna mkatoliki atakeyejiita mkrisTO hapo umechemka na uchochezi wako
Mkatoliki wa wapi wewe acha bange' unaikana dini yako unajibandika ukatoliki ili uchafue hali ya hewa na udini wako!
Wakatolic ni ma empire makubwa. Mambo ya ujasus wanayajua sana. Hiyo ndo sera yao. Mm ni mkristu nawajua sana. Hilo linalosemwa lipo ndo mana wenzetu waisilamu kila ckuhulia na mfumo kristo. Na hii itakuwa ivo daima. Mfumo kristo ndo upodunian nw so ni kweli lisemwalo.
we utakua mgonjwa wa akili sio bure
eti mkatoliki ng'eng'eng'eeeeee,shutuuuuu,kaogeeeee
pengo ameshika mtu miguu au mikono aukashika akili za watu?
uchonganishi tu hamchokiiiiii?kutafuta wakatoliki kila kukicha nyoooh!!
Jina lako halisi ni Ahmed Rashid. Mkatoliki wa karne mpya!