Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Kuwa CCM Ni Kazi Ngumu Sana Ndugu Zangu, ila tunabadilika haraka kuliko mnavyotuchukulia, kwa mfano:
Mwaka Juzi Tulishangilia Watumishi Walio Na Vyeti Feki Kufukuzwa, Leo Wamerudishwa Kazini Tunashangilia Tena.
Juzi Tulishangilia Tozo Zilivyowekwa Leo Tozo Zimepunguzwa Tunashangilia Tena,
Tulisimama na Mwenyekiti kwamba hakuna Corona Tanzania, leo tumesimama na Mwenyekiti mpya kwamba corona ipo na chanjo ni muhimu
Tulisimama na spika kwamba wanaotaka kuchanjwa ni vibaraka wa mabeberu na kuwafukuza bungeni, leo tumewafukuza Bungeni waliotukumbusha msimamo wetu wa jana.
Tulishangilia Sabaya anachapa kazi, tukamzomea alipotumbuliwa, tunashangilia Tena kwamba alitishiwa kuuwawa na Mbowe.
Kwa namna tunavyobadilika kwa kasi hata wapinzani zetu awawezi kufikia Kasi hii😆😆😆😆