Waziri wa Mambo ya Ndani Dk. Emmanuel Nchimbi akiondoka uwanjani baada ya waandishi wa habari kumtaka aondoke, mambo mawili ya kushangaza yaliojiri ni kwamba waandishi wamemtaka waziri aondoke lakini ndio wamekuwa wa kwanza kumhoji kama anavyoonekana pichani pili waandishi hao hao wakampa nafasi Dk Xavery Rweitama wa Chadema kuongea kama rafiki wa waandishi wa habari... Jamani taaluma hii na siasa ni vitu viwili tofauti.
Source: CCM Blog
Mytake:
Nape Nnauye ndo alizindua hii blog ya CCM na yeye ndo anapeleka habari hizi; inakuwaje Nape unakuwa na chuki na waandishi? Je mbona unabomoa chama chetu?

kwa hawa CCM uwe neutral au against watakuita mpinzani tena zaidi utaitwa CHADEMA! kaaz kwel kwelHilo ndo tatizo la ccm ukiwapa tahadhali wanadhani wewe ni chadema huu ni ujinga
aliyeandika habari hiyo lazima alikuwa amebanwa na kimba, toka lini Lwaitama amekuwa ni mwanachama wa CHADEMA? Lwaitama yeye hujiita mwanachama mfu wa CCM,sasa kadi ya CHADEMA kachukua lini na ni kadi namba ngapi? uanaharakati wake kusitafsiriwe kuwa ni mwanaCHADEMA>
tuko pamojaBongoLogik aliyeandika hii habari anakaribia kutoka nje ya mstari! Maandamano yale yalikuwa ya waandishi wa habari na yaliandaliwa na Jukwaa la wahariri, Mbona CDM unaitajataja sana kama imehusika? Dr. Lwaitama ni rafiki wa wanahabari, na alikaribishwa kuzungumza kama mwanaharakati, akitetea uhuru wa wanahabari kufanya kazi na kulaani jeshi la polisi kutumiwa na vyama vya siasa "kukalia" jitihada za vyama vya upinzani kufanya siasa (kufungua matawi)! Kutamka hilo hakumlazimu Dr. kuwa mwanachama wa CDM!
Kumbe ukipinga mwenendo wa nchi we ni cdm..ndo kwanza naskia lwaitama ni mpinzani.