mku ccm wana hali mbaya sana kutokana sumu iliyo mwagwa na cdm huko vijijini, ccm wanatoa rushwa kwa nguvu mno, wananunua bendera za cdm zilizotundikwa sehem mbalimbali kwa sh.5000. Hivi sasa wameanza kununua shahada za wapiga kura.
Kama hali imefikia hatua ya kununua shahada za kupigia kura huo ni ubakaji wa demokrasia. Kama kuna ushahidi wa jambo hilo basi wapinzani waende mahakamani ili uchaguzi usimamishwe na hati za kupigia kura zihakikiwe kwa kila mwana Igunga
Watakamtwa sana bt no further action kwa upande wa serikali. Watakiona cha mtema kuni kwa wananchii. Mungu awasaidie wananchi wa igunga, kuelewa uhalisia wa mambo, ili wazitumie kura zao vizuri
we nawe hacha siasa kwenye heading yako umesema wamekamatwa, kwenye maelezo yako umesma waruka kiunzi hacha kuleta lugha za magazeti... fuatilia habari na ufanye makusanyo mazuri kisha tafakari kwanza kabla ujatuletea humu....
People!
Kwa udhaifu mkubwa mtu wao huyo kajitokeza leo asubuhi kwenye taarifa za habari na kudai ati kilichokuwa kinaendelea ni kugawa posho za vikao!
Kazungumza kwa upole wa ajabu nadhani aibu ya kuumbuliwa na wafuatiliaji inamsuta1
Simcaesor!
Hoja yako inaweza kuwa na uhalali kwa maana mtoa hoja hakufafanua huko kuruka kiunzi kulikuwa na maana ipi hasa.
Lakini na wewe jaribu kurekebisha lugha yako maneneo yaandikwe inavyopaswa.Yaani ulivyobomoa Kiswahili hapo - utadhani ulikuwa unaongea kikwenu? Unamwaibisha mwalimu aliyekufundisha shuleni!