CCM wagombania pikipiki za "EPA" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wagombania pikipiki za "EPA"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Feb 5, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,080
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  Katika kuonyesha hali ya masikitiko inayoendelea kuikumba chama cha mapinduzi, hivi majuzi viongozi wa chama cha mapinduzi walishikana mashati katika kugombania pikipiki zilizotolewa na yule FISADI wa EPA mwenye kesi pale mahakama ya kisutu Bw LEMA, katika kuonyesha masikitiko zaidi viongozi walipanga kwa pamoja wakati mh RAIS atakapokuja mkoani Arusha ndipo awagawie viongozi na baadhi ya madiwani, hamad dili hili likaaribika pale mh rais alipouliza wapi zimepatikana wakasema zimetolewa na mfadhili wa CCM hapa Arusha.

  Akwaambia sasa kama mnajua zimetokea wapi kagawaneni wenyewe mie siwezi gawa pikipiki nisizojua wapi zimetokea... Waheshimiwa wakabaki na dunduwazi bila kujua nini cha kufanya.

  Kama tulivyosema hapo mwanzoni hawa mafisadi wa EPA kwenda mahakamani ni mchanga wa macho tu...ona huyu hata kesi ajamaliza anaendelea kugawa pesa za epa zilizobakia ili whurumiwe. JK usiwaache hawa kama pesa kuleni kama kawa ndani waende...

  Hivi ndivyo CCM wanapopata pesa za kuchafuana.....

  EPA=CCM
   
Loading...