Uchaguzi 2020 CCM wagawana kata Arusha, Gambo ushindi saa nne

Kabisa, maendeleo arusha yamekua ya ovyo ovyo halafu ukiangalia wanaoshabikia chadema ni wahuni tu na vijana wa mtaani , ila mbunge wao ni tajiri ana pesa ila uliza maisha ya wananchi wake, sijajua hata alichoifanyia arusha
Nilijuaga unaaoili we jamaa ila kwa oni lako hili umenistu,ina maana Halima Mdee anayeongoza kawe yeye ndo tajiri kuliko wote kawe?ina maana Mavunde ndo tajiri wa Dodoma?Ina maana mbunge lazima awe na pesa kuliko anaowawakilisha?
Ina maana wahuni sio binadamu?unajuaje kuwa huyu ni muhuni?Hivi unajua kuwa inawezekana kuna mtu anakuchukulia hata wewe kama muhuni fulani choko kabisa?
Tuheshimiane,siasa zisitugawe kiasi hiki aisee.
 
Ccm kwanza malizaneni wenyewe kwa wenyewe,kwamaana huyo Gambo huko ndani hakubaliki,mnaenda kugawa kura.
Kosa hilo mnarudia miaka yote,hamjifunzi
 
Maamae huyo gambo wenu atapitishwa ubunge kwa damu kama Maulidi Mtulia alivyopitishwa ubunge uchaguzi wa marudio pale Kinondoni kwa damu ya Akwilina . Mungu Amrehemu, na awalaani wote waliohusika na dhulma ya kumpotezea maisha.
 
Back
Top Bottom