CCM waanza kuonja makali ya CHADEMA

Wanatawala ktk kugawna vyeo gizani kama mnagawana mbuzi kibudu?
Taabu ipi sasa hapo wakati wanatawala? Acha kujifariji mkuu!
 
Hapo joto ya jiwe ipi sasa wakati udiwani wanachukua? Mtanyooka tu awamu hii...
Anyooke nani?nani kakudanganya?kwani unafikiri cdm wamafanya uamuzi wa kinafiki?
 
Kususia uchaguzi hakujawahi hata siku moja kuwa na faida kwa chama kinachosusa, vyama vyote vinavyosusia chaguzi huwa vinaishia kusambaratika. Lengo la chama chochote kile cha siasa ni kushika madaraka, sasa chama kikianza kususia uchaguzi hakiwezi kuyapata hayo madaraka.

Kwa staili hii CHADEMA mnajichimbia "kaburi" lenu wenyewe, na ikifika 2020 Watanzania watakuwa wamewasahau kabisa. Mbowe na chama chako mnapaswa kufahamu msemo huu; "quitters don't win and winners never quit"
 
Hahahaaaa utadhani wako msibani
 
Hayo ni mawazo ya walio changanyikiwa na wanao jidanganya kuwa wanapendwa na kwa taarifa yako cdm inapendwa na mamilioni ya watanzania na huo uamuzi ni wa wananchi
 
Nanyie mtakoma kwa kufanya harusi bila send off

Huku kususa kwenu ni mara ya 99 sasa bado msuso mmoja mfikishe mara 100[emoji3]
Mlianza kususa bungeni!!!mkatikisa kweli kiberiti,mkajiliza kila upande,lkn msimamo wa JPM upo palee paale,!!!
Safari hii kufa hafi mtu hapa ila chamoto tutakiona[emoji3]
Mlizoea kuwanyanyasa na kuwakejeli viongozi waliopita eenhh!!!
Hili ni JIWE[emoji3] halijaribiwi[emoji3]
 
Kwa kuchangia huu uzi kwa nidhamu namna hiyo unaonyesha umeuelewa
 
Cdm hawajaribu bali wanatekeleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…