CCM wameanza kuondoka Zanzibar kimyakimya, wanasema mziki wa ACT-Wazalendo sio wakawaida, baadhi ya kauli ni kukifananisha Chama cha ACT-Wazalendo na ng'ombe maarufu anaejulikana kwa Jina la kipole, hana msalie mtume.
Wengine wakisema hawatokubali kufanywa kuni ndani ya Zanzibar kwani kuwalinda wahafidhina wa CCM ni kuyatafuta mauti kwa hiari yako sababu ACT-Wazalendo hawazuiliki hapa Zanzibar na wanaonekana wazi wana nguvu na kila sababu ya kushinda.
Kama Iddi Amini alipoivamia Tanzania tunajua kilichomtokea mjeshi wa Uganda sasa chukulia sisi CCM ndio kama Iddi Amin na ACT-Wazalenda ndio majeshi ya Tanzania unafikiri tutapona.