CCM waandike kupoteza Jimbo la Rorya

CCM waandike kupoteza Jimbo la Rorya

Bado mnapiga kura kwa kuangalia makabila😀😀
Mgombea yeyote wa Ubunge au Udiwani anatakiwa kuwa mkazi wa Jimbo au Kata ikiwa na maana kuwa ni mzawa tofauti na Urais hata kutoka kabila la jirani ruksa maana makabila yanaingiliana. Hata teuzi zinaangalia sura, kabila, Kanda na dini ndo maana ninyi watafuta uteuzi mnaanza kwa kusifia halafu kuunga mkono juhudi ndo maana mmejaa huko Kama mko Rwanda kwenye Wanyarwanda na Watwa wachache.
 
Bado mnapiga kura kwa kuangalia makabila
Nipo mikoani, eeh mungu saidia nirudi Dar mji wa babu yangu, huku hata uanzishe biashara kama kabila tofauti hawanunui..... Yaani ndio mana maendeleo yamechelewa mikoani kuliko pwani sababu ya ukabila
 
Mgombea yeyote wa Ubunge au Udiwani anatakiwa kuwa mkazi wa Jimbo au Kata ikiwa na maana kuwa ni mzawa tofauti na Urais hata kutoka kabila la jirani ruksa maana makabila yanaingiliana. Hata teuzi zinaangalia sura, kabila, Kanda na dini ndo maana ninyi watafuta uteuzi mnaanza kwa kusifia halafu kuunga mkono juhudi ndo maana mmejaa huko Kama mko Rwanda kwenye Wanyarwanda na Watwa wachache.
kwani kuwa mkazi lazima uwe kabila la hapo? Tuchague viongozi kulingana na sera zao sio sababu ya kabila.
 
Rorya ni jimbo linalopatikana ndani ya mkoa wa Mara, na wakazi wa hapa ni wajaluo kwa 95% huku wasimbiti na baadhi ya vikabila vidogo vidogo ni 5 tu ya wilaya nzima

Lameck okambo airo(LAKAIRO) ndiye alikuwa mbunge kwenye awamu mbili lakini kwa mwaka huu aliamua kujiondoa kutokana na upepo wa mabadiliko unaovuma kwa sasa,hasa baada ya Ezekiah Dibogo wenje kutangaza nia ya kugombea jimbo la Rorya. Watu wengi walivutiwa sana na ujio wake ata wana ccm walimuona kama mtu anaefaa.

Kwenye kura za maoni za Jana CCM wakamteua kijana kutoka kabila la wasimbiti makusudi kabisa ili kumpatia kura ndugu wenje ambae ni mjaluo mwenzao kuitawala Rorya

Toka jimbo hili kuanzishwa hakuna mtu wa kabila tofauti ashawahi kuwa mbunge lakini Jana CCM wamefanya maamuzi ya juu kabisa tena bila kujua kabisa wanaua chama kwa kuegemeza nguvu zao ili ndugu wenje ashinde jambo litakaloleta mpasuko mkubwa kwa CCM-Rorya

Kwa hali ilivyo sasa sioni nafasi ya CCM tena wilayani Rorya, sababu wananchi wengi wanavutiwa na wenje

Note: Ezekiah Wenje, alikuwa ni mbunge wa Nyamagana 2010-2015

View attachment 1513728
View attachment 1513730

View attachment 1513732
Umefanya haraka Sana kuwastua watabadili mgombea,
Airo ndo saizi ya Wenje.
Majimbo yenye uhakika wa ushindi kwa chadema saa 4 asubui ni Rorya kwa Wenje na Kawe kwa Mdee hamna kitu pale ccm washapigwa.
 
Kuna watu wanatakiwa wasikose bungeni mfano Wenje,Mdee,Msigwa,Heche, Kafulila ni wajenga hoja wazuri Sana.Sijui Kafulila alipitiwa na mdudu gani mbaya.Ni rahisi kutoka ccm ukashinda upinzani kuliko kutoka upinzani ukashinda ccm.
Sijui why huwa awajifunzi kwa waliopita kwa kina Lamwai,Mrema,Mpendazoe,Warid Kaburu,nk
 
Attachments

  • Screenshot_20200722_123916.jpg
    Screenshot_20200722_123916.jpg
    66.7 KB · Views: 7
Rorya ni jimbo linalopatikana ndani ya mkoa wa Mara, na wakazi wa hapa ni wajaluo kwa 95% huku wasimbiti na baadhi ya vikabila vidogo vidogo ni 5 tu ya wilaya nzima

Lameck okambo airo(LAKAIRO) ndiye alikuwa mbunge kwenye awamu mbili lakini kwa mwaka huu aliamua kujiondoa kutokana na upepo wa mabadiliko unaovuma kwa sasa,hasa baada ya Ezekiah Dibogo wenje kutangaza nia ya kugombea jimbo la Rorya. Watu wengi walivutiwa sana na ujio wake ata wana ccm walimuona kama mtu anaefaa.

Kwenye kura za maoni za Jana CCM wakamteua kijana kutoka kabila la wasimbiti makusudi kabisa ili kumpatia kura ndugu wenje ambae ni mjaluo mwenzao kuitawala Rorya

Toka jimbo hili kuanzishwa hakuna mtu wa kabila tofauti ashawahi kuwa mbunge lakini Jana CCM wamefanya maamuzi ya juu kabisa tena bila kujua kabisa wanaua chama kwa kuegemeza nguvu zao ili ndugu wenje ashinde jambo litakaloleta mpasuko mkubwa kwa CCM-Rorya

Kwa hali ilivyo sasa sioni nafasi ya CCM tena wilayani Rorya, sababu wananchi wengi wanavutiwa na wenje

Note: Ezekiah Wenje, alikuwa ni mbunge wa Nyamagana 2010-2015

View attachment 1513728
View attachment 1513730

View attachment 1513732
Nachukia mijitu mikabila-kabila kama wewe
 
Mimi niwashukuru Sana Ccm mmetufurahisha watz kuwapiga spana nguvu wahamiaji na wabunge wa hovyo hovyo,pia kuzuia watu wa hovyo hovyo waliojitokeza kutia Nia,mmtaleta heshima ya bunge,sio bunge linakuwa na wabunge wa hovyo hovyo wanaongea utumbo tupu na kusifia mtu apitaye wapate shibe.Tunaomba bunge lijalo liwe na heshima yake.
 
Rorya ni jimbo linalopatikana ndani ya mkoa wa Mara, na wakazi wa hapa ni wajaluo kwa 95% huku wasimbiti na baadhi ya vikabila vidogo vidogo ni 5 tu ya wilaya nzima

Lameck okambo airo(LAKAIRO) ndiye alikuwa mbunge kwenye awamu mbili lakini kwa mwaka huu aliamua kujiondoa kutokana na upepo wa mabadiliko unaovuma kwa sasa,hasa baada ya Ezekiah Dibogo wenje kutangaza nia ya kugombea jimbo la Rorya. Watu wengi walivutiwa sana na ujio wake ata wana ccm walimuona kama mtu anaefaa.

Kwenye kura za maoni za Jana CCM wakamteua kijana kutoka kabila la wasimbiti makusudi kabisa ili kumpatia kura ndugu wenje ambae ni mjaluo mwenzao kuitawala Rorya

Toka jimbo hili kuanzishwa hakuna mtu wa kabila tofauti ashawahi kuwa mbunge lakini Jana CCM wamefanya maamuzi ya juu kabisa tena bila kujua kabisa wanaua chama kwa kuegemeza nguvu zao ili ndugu wenje ashinde jambo litakaloleta mpasuko mkubwa kwa CCM-Rorya

Kwa hali ilivyo sasa sioni nafasi ya CCM tena wilayani Rorya, sababu wananchi wengi wanavutiwa na wenje

Note: Ezekiah Wenje, alikuwa ni mbunge wa Nyamagana 2010-2015

View attachment 1513728
View attachment 1513730

View attachment 1513732
Kama amechaguliwa kupitia kura, wewe shida yako nini? Ulitaka upitishwe wewe hata kama kura zako hazikutosha? Acha wivu, mwache akapambane na Wenje.
 
Wewe utakuwa mjaluo wa Kenya kwani huko ndiko kuna ukabila. Huku Tanzania hatuna ukabila. Wasukuma wa Mwanza walimchagua Wenje kuwa mbunge wao. CCM haina ukabila, hao waliowachagua kwenye kura za maoni hawakuwachagua kwa kuangalia makabila yao.

Halafu wewe unadhani majimbo yote yatachukuliwa na ccm pekee? Yaani vyama vyote vya upinzani visiambulie angalao majimbo machache? Kipi kinakuuma kama jimbo la Rorya likachukuliwa na NCCR au ACT? Haliwezi kuchukuliwa na Wenje kwani mwaka huu chadema haitapata hata jimbo moja. Huu ndiyo ukweli. Awe Wenje au Mbowe hawapati kitu.
Wasukuma Org. hawanaga ukabila kabisa,hata (2010-2015) jimbo la Ilemela walimchagua Mchaga-Kiwia kuwaongoza jimbo lao fresh kabisa.

Hizo story za wasukuma kuhusishwa na ukabila zimeanza majuzi kati tu hapa huku zikipewa msukumo na wakina Gwajima ambaye huyu alitakiwa awekwe ndani hata mwaka kwa kuhamasisha mambo ya ukabila.
 
Duuh bado kuna watu wanachagua viongozi kwa kuangalia kabila alilotoka? Hatari sana
 
Mleta hoja mbona unakuja na agenda za ukabila badala ya sera/dira ya mgombea toka CCM bila kujali kabila lake?

Wenje sio msukuma, ila 2010-15 alikuwa mbunge wa Nyamagana huku ikifahamika wapiga kura wengi walikuwa wasukuma hasa toka makazi ya pembezoni wa Nyamagana na Misugwi.

Kwanini kama mgombea wa CCM asichagulike kama atawahakikishia wana Rorya kuwasemea shida zao mjengoni ili miradi ya ifanyike ku-solve changamoto za wana Rorya.
Karne ya 21 ni kitu kibaya sana kuzungumza uluo na usimbiti hadharani.

2008 Barack Obama alichaguliwa na Wamarekani sio kwa rangi ya ngozi au rangi ya chama, bali alionesha vision ya kuwaunganisha wapiga kura kwa kile kinaitwa "the change wa believe in".

Rai yangu kwa mgombea wa CCM, kama utapitishwa na mamlaka ya juu ya uteuzi, kajinadi kwa kuuza vision yako kwa wana Rorya sio ukabila, bila shaka kama umeongoza kura za maoni, huenda ukatusua na kura za jimbo.

Ukabila hauna nafasi Tanzania na tusijivunie kama msingi wa kupata kura kisiasa.
Wajaluo ni wakabila,wanafiq na wabinafsi sana.
 
Back
Top Bottom