CCM waaibika Iringa

Mwakalebela hongera sana kwa "maelfu" ya watu waliojitokeza leo dhidi ya "mamia" waliojitokeza jana kwenye mkutano wa CHADEMA. Kidumu chama cha mapinduzi... hakika nimeamini chama chashika hatamu.!

eee bhana Mwakalebela si yuko wanging'ombe , hii si ni iringa mjini , sasa imekuwaje mnachanganya hizi picha bhana ?
 
ebhana duu..........sema wangemleta Daimond watu tungejaa kuja kumshangaa.........sasa wenyewe tuu hawana ishu.....!!
 
Elee uwiiiiiiiii ! toa toa haraka aibu hii ! na ni kakurusu kuweka hii picha hapa JF tena jifiche mbali usilale kwako Leo utatafutwa

umechafua ramani ya kuelekea uchaguzi wewe!!!! kabila gani huna huruma na woga.

Huyu jamaa kwa vyovyote vile hana roho. Huwezi umiza wenzio kiasi hiki kama wewe ni binadamu mwenye roho yenye huruma na mahaba tele. Sii angetafuata hata picha za zamani ( kama ilivyo kawaida yao) na kuziweka hapa ili kutuliza stress za watu!
 
Mwakalebela hongera sana kwa "maelfu" ya watu waliojitokeza leo dhidi ya "mamia" waliojitokeza jana kwenye mkutano wa CHADEMA. Kidumu chama cha mapinduzi... hakika nimeamini chama chashika hatamu.!

Swali la kujiuliza kidogo tuu, mwakalebela alikuwa na nani na msigwa alibebwa na nani? Nyadhifa zao katika chama na mvuto wao kisiasa, mara ngapi tumeshuhudia mikutano ya chadema inahudhuliwa na viongozi tuu kwa kukosa watu
 
mwakalebela hakuwa na hela za kukodi malori ya kubeba abiria
 
Mwakalebela hongera sana kwa "maelfu" ya watu waliojitokeza leo dhidi ya "mamia" waliojitokeza jana kwenye mkutano wa CHADEMA. Kidumu chama cha mapinduzi... hakika nimeamini chama chashika hatamu.!

mwaka huu kitaeleweka
 
Mungu wangu ccm imeshapotea hii! Imekosa mvuto tena imebaki kuleta wanyama ili wapate watu, au daimond, duh hii ni kali kwa hiyo ccm imekufa kabisa mpaka imezidiwa na daimond!' Bye bye ccm
 
Swali la kujiuliza kidogo tuu, mwakalebela alikuwa na nani na msigwa alibebwa na nani? Nyadhifa zao katika chama na mvuto wao kisiasa, mara ngapi tumeshuhudia mikutano ya chadema inahudhuliwa na viongozi tuu kwa kukosa watu

Lete picha.
 
Sasa Mwakalabela atashindana namsigwa kweli? Mambo mengine ni kujitakia tu kwakweli.
 
...walisahau kuja na fisi. Wamesha legea bado kuwakalisha tu October ....
 
swali la kujiuliza kidogo tuu, mwakalebela alikuwa na nani na msigwa alibebwa na nani? Nyadhifa zao katika chama na mvuto wao kisiasa, mara ngapi tumeshuhudia mikutano ya chadema inahudhuliwa na viongozi tuu kwa kukosa watu

hata milembe watakukatia rufaa uende bangaladeshi!
 
Hakukuwa na fisi kwani mkutanoni
 
Daaaanh hatariiii umefkiriaaaa mbalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…