Wakiwa nje ya mfumo akili zinawarudi, Uliona kipindi ndugu yetu wa mtama alivyokuwa back bencher? Alikuwa mnyenyekevu mno!Bashiru ni mlafi wa madaraja, chama kinamtwanga vilivyo
Nachojiuliza hii sio movie? Maana CCM washatujulia watanzania!bashiru akirudi CUF anaweza kuwa candidate mzuri sana kama prof Lipumba hatakuwepo ndani yake. anaweza kusumbua mno, wasije kumruhusu icho kitu, ama la, wakumbushie ile issue za kigogo kwamba walikwapua mipesa kipindi jiwe amekufa ili wamburuze nalo kwa uhujumu uchumi. awe makini,
inaweza kuwa movie, na inaweza kuwa sio movie. ila kuwa movie ni possible zaidi kwasababu sidhani kama bashiru hana madudu anayoogopa watafukua makaburi akileta kiburi, lazima atakuwa na kitu cha kumfyatisha mkia, ukiona ana ujasiri ivyo, yote yanawezekana.Nachojiuliza hii sio movie? Maana CCM washatujulia watanzania!
Hawa watu wanalindana Sana, Ndiyo maana nimeanza kwa kusema ukiona vyaelea ujue vimeundwainaweza kuwa movie, na inaweza kuwa sio movie. ila kuwa movie ni possible zaidi kwasababu sidhani kama bashiru hana madudu anayoogopa watafukua makaburi akileta kiburi, lazima atakuwa na kitu cha kumfyatisha mkia, ukiona ana ujasiri ivyo, yote yanawezekana.
Msajili wa vyama Yuko bize sana, hatasajilo chama mpaka mchakato wa katiba ukamilikeMakinikia hawana chao, je 2025 watakuwa wapi? Watarudi upinzani au wataanzisha chama kipya?
Mtihani mzito sana hui kwao. Maana huko upinzani kwenyewe, walinyea kambi.Makinikia hawana chao, je 2025 watakuwa wapi? Watarudi upinzani au wataanzisha chama kipya?
Waanzishe chama afu nani akisajili? ingekuwa hiyo ni rahisi mbona tungekuwa na vyama buku leo hii.Mtihani mzito sana hui kwao. Maana huko upinzani kwenyewe, walinyea kambi.
Binafsi nawashauri waanzishe tu chama chao, ili waweze kupata wanachama kwa urahisi kutoka pande zote mbili! (upinzani + ccm)
Mkuu una mawazo likewise, yaani ukute kuna jambo wanatupoteza as issue ya mgao wa Maji, Umeme, Chakula.Nachojiuliza hii sio movie? Maana CCM washatujulia watanzania!