Salaam wana JF
Angalizo dogo kwa wana mageuzi.
CCM wanaihujumu CHADEMA kwenye level ya juu zaidi kuliko CHADEMA wanavyofikiria. Inaonekana intelijensia ya CHADEMA inai- underestimate intelijensia ya CCM, kitu ambacho si sahihi, na kinaweza kuigharimu CHADEMA.
Inavyoonekana CCM ina watu ndani ya CHADEMA, na ni watu ambao wanaaminika sana ndani ya CHADEMA, na hao watu wamefanikiwa ku pretend na kuonekana ni very loyal kwa uongozi wa juu wa CHADEMA.
Na hawa watu pia huwazushia kashfa wenzao/watendaji ndani ya chama na kuwachongea kwa wakuu wa chama, ili wafukuzwe au wawe demoted. Na wanafanya haya yote na mengine mengi tusioyajua kukivuruga chama, huku wakuu wa chama wakidhani kwamba watu hao wana nia ya kukijenga chama.
Na hawa watu kwa namna moja au nyingine watahusika siku za baadae kwenye uvujaji wa mipango ya ndani ya chama, na hii inaweza kuwapa CCM urahisi wa kujua ni jinsi gani ya kui-slow down CHADEMA.
Kitendo cha ile clip ya afisa usalama wa juu kabisa wa CHADEMA kuwafikia CCM, regardless imelishwa maneno au la, kimeonyesha udhaifu mkubwa uliopo ndani ya usalama wa chadema. Na bado hatujui pengine kuna vingine vinakuja.
Inachukua hata mwaka kumshawishi mtu kujiunga na chama, lakini inachukua sekunde moja tu kumpoteza mwanachama.
Ushauri wangu kwa uongozi wa juu, na kwa wanachama, na kwa wafuasi wa chadema ni kuwa makini sana na mbinu chafu za wapinga mageuzi, hawa watu kila siku wanatafuta mbinu mpya.
Tusiwape mwanya wakatupelekesha mchakamchaka mpaka tukaomba dakika ya 90(2015) ifike haraka kwa sababu tumechoka, ila tuwapeleke wao mchakamchaka na tufike dakika ya tisini bado tuko fit na wao wawe taabani.
....
Salaam wana JF
Angalizo dogo kwa wana mageuzi.
CCM wanaihujumu CHADEMA kwenye level ya juu zaidi kuliko CHADEMA wanavyofikiria. Inaonekana intelijensia ya CHADEMA inai- underestimate intelijensia ya CCM, kitu ambacho si sahihi, na kinaweza kuigharimu CHADEMA.
Inavyoonekana CCM ina watu ndani ya CHADEMA, na ni watu ambao wanaaminika sana ndani ya CHADEMA, na hao watu wamefanikiwa ku pretend na kuonekana ni very loyal kwa uongozi wa juu wa CHADEMA. Na hawa watu pia huwazushia kashfa wenzao/watendaji ndani ya chama na kuwachongea kwa wakuu wa chama, ili wafukuzwe au wawe demoted. Na wanafanya haya yote na mengine mengi tusioyajua kukivuruga chama, huku wakuu wa chama wakidhani kwamba watu hao wana nia ya kukijenga chama. Na hawa watu kwa namna moja au nyingine watahusika siku za baadae kwenye uvujaji wa mipango ya ndani ya chama, na hii inaweza kuwapa CCM urahisi wa kujua ni jinsi gani ya kui-slow down CHADEMA.

CHADEMA itaanguka kama viongozi wajuu wakinunuliwa na CCM, lakini kwa sera iliyopo ya sasa ya madaraka kushushwa ngazi za kanda itakuwa vigumu kuiangusha CHADEMA kwani chama kitakuwa na mizizi iliyo imara chini.Salaam wana JF

Hapo umenena mkuu. Kweli watz wamechoka na ccm...cdm inapaswa kuwa makini kwa ziada
Hamna haja kutafuta mchawi? au LWAKATARE kisha nena kuwa kanunuliwa nini? teh teh teh teh, kazi ipo. Ngoja tusubiri tuone mnavyojikanyaga.CHADEMA itaanguka kama viongozi wajuu wakinunuliwa na CCM, lakini kwa sera iliyopo ya sasa ya madaraka kushushwa ngazi za kanda itakuwa vigumu kuiangusha CHADEMA kwani chama kitakuwa na mizizi iliyo imara chini.
Wasaliti huwezi kuwachambua hata CCM wapo na hata kwenye biblia kuna mstari unasema "Yaacheni magugu yamee pamoja na ngano" na waswahili wakasema "kwenye msafara wa mamba na kenge wamo" sasa hatuwezi kusitisha msafara kisa kuna "kenge" wachache
CHADEMA itabaki Imara
Ningekuwa Mbowe, ningeitisha kikao cha dharura cha wanaCDM na kuwashauri wake kimya kwanza.
Hii kila mtu kukimbilia mtandao wa kijamii na vi-statement inakiweka pabaya chama zaidi.
Watu tnapembua tu pumba na mchele, msidhani wapiga kura tuko mambumbu kivile.
Shut up for a minute, jeezy.
Viongozi wa cdm ushauri huo mchanganye na zakwenu ili kukiweka cdm mahala pazuri.
CCM hawana kitu cha kuwaambia wananchi ambo sasa wanajua uongo wao wa muda mrefu na ndio maana kila siku wanatafuta namna ya kukipaka matope CHADEMA.
Kila siku utaona wanatafuta namna ya kumshambulia na kuhujumu chama na viongozi wake lakini siku zote aliyesimama katika ukweli na haki atang'ara tu hivyo hata CCM watumie njia gani kukihujumu CHADEMA watashindwa tu.
ccm = chama cha machuma ulete
Chadema hawana uwezo wa kuongoza nchi...