CCM vipi vyeo kwa wasanii wetu?

Jan 1, 2016
80
12
Naona nafasi za uteuzi za serikali ya ccm zinaelekea ukingoni.Ni imani yangu CCM italipa fadhira Kwa Wasanii wetu waliojitoa Kwa nguvu kupiga Push Up kama namba 1 alivyokuwa anapiga ili kumwuunga mkono_Ombi Kwa CCM tunaomba iwafikirie wasanii hao japo Ukuu Wa Wilaya kwani ndio nafasi za shukurani.
 
Duuuuh!!Steve nyerere had huku humo???ok chakula mlichokua mnakula ikulu kipindi kile ndo mlikilipia kwenye kampen!!swala la vyeo si kipindi hiki hapa ni kazi tu!over
 
Mikakati ya kuwalipa fadhila inaandaliwa.Kwa kuanzia wasanii wa muziki kuanzia januari 2016 mtalipwa kila nyimbo zenu zitakapopigwa kwenye radio na tv stations.Wale wa sanaa za maigizo tunaanda utaratibu yale matangazo yote ya biashara kwenye tv,magazeti,mabango,nk ni nyie pekee ndio mnatakaopewa kipaumbele hivyo tulieni.
 
Isee! Yani mtu kupiga kapushap apewa awe DC.Hii yawezekana Tanzania tu,kwakweli.
 
Back
Top Bottom