Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,593
- 17,554
Huu ndio ukweli wenyewe!."Kuna kitu hiyo inajulikana! Ushindi wa Chama Cha Mapinduzi ni lazima, na CCM haina mpango wa kutoka madarakani kesho, kesho kutwa na miaka huko mbele.
Sasa kusema kwamba ushindi ni lazima, na inaendana na mipango, mikakati na mambo mengine yanayofanana na hayo, kwa hiyo hatuwezi kusita kuyasemea haya ya Chama Cha Mapinduzi
Join the USHINDI chain
Ukweli na uhakika kama TBCHuu ndio ukweli wenyewe!.
P
Punguza hasira janja wakati wewe unabweka Huku mitandaoni viongozi wako wa juu Wanaridhiana na kunywa chai pamojaNyie CCM, endeleeni tu kutupandia kichwani mbegu za mawazo mbadala za kuwaondoa. Kuna siku mtajuta. Hilo mkae mkijua. Ni kiburi kama hiki kilichofanya watu kama nyie baada ya kuondolewa kwa nguvu, walipelekwa kwenye viwanja na kufungwa kwenye nguzo huku wakiwa na vitambaa vyeusi machoni. Kisha yanakwisha.
Hata Nape Nnauye alishasema siku nyingi zilizopita Bandugu. 😅👍"Kuna kitu naona kinapita mtandaoni ninafikiri cha katibu wa wilaya fulani, watu wanapiga kelele sana oooh ushindi ni lazima, sijui hivi sijui vile, hiyo inajulikana mbona! Ushindi wa Chama Cha Mapinduzi ni lazima, na CCM haina mpango wa kutoka madarakani kesho, kesho kutwa na miaka huko mbele. Sasa hatuwezi kuona aibu, sisi viongozi sisi wanachama kusema kwamba ushindi ni lazima, na inaendana na mipango, mikakati na mambo mengine yanayofanana na hayo, kwa hiyo hatuwezi kusita kuyasemea haya ya Chama Cha Mapinduzi kwa sababu ndiyo tunayoishi nayo"- Maganya.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Fadhili Maganya akizungumza na walimu Makada wa CCM mkoani IringaView attachment 3089314
Join the USHINDI chain
Ushi ndi ni lazima ni code ya ushindi kwa njia yeyote pamoja na kuiba kura napia kuiba uchaguzi mazima El magufuli na jecha."Kuna kitu naona kinapita mtandaoni ninafikiri cha katibu wa wilaya fulani, watu wanapiga kelele sana oooh ushindi ni lazima, sijui hivi sijui vile, hiyo inajulikana mbona! Ushindi wa Chama Cha Mapinduzi ni lazima, na CCM haina mpango wa kutoka madarakani kesho, kesho kutwa na miaka huko mbele. Sasa hatuwezi kuona aibu, sisi viongozi sisi wanachama kusema kwamba ushindi ni lazima, na inaendana na mipango, mikakati na mambo mengine yanayofanana na hayo, kwa hiyo hatuwezi kusita kuyasemea haya ya Chama Cha Mapinduzi kwa sababu ndiyo tunayoishi nayo"- Maganya.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Fadhili Maganya akizungumza na walimu Makada wa CCM mkoani IringaView attachment 3089314
Join the USHINDI chain
Uhuru umekuzidi sio??Ushi ndi ni lazima ni code ya ushindi kwa njia yeuote
Naona umevimbiwa maharageHata Nape Nnauye alishasema siku nyingi zilizopita Bandugu. [emoji28][emoji106]
Au nasema uongo ndugu zanguni [emoji3][emoji28][emoji1787]
"Kuna kitu naona kinapita mtandaoni ninafikiri cha katibu wa wilaya fulani, watu wanapiga kelele sana oooh ushindi ni lazima, sijui hivi sijui vile, hiyo inajulikana mbona! Ushindi wa Chama Cha Mapinduzi ni lazima, na CCM haina mpango wa kutoka madarakani kesho, kesho kutwa na miaka huko mbele. Sasa hatuwezi kuona aibu, sisi viongozi sisi wanachama kusema kwamba ushindi ni lazima, na inaendana na mipango, mikakati na mambo mengine yanayofanana na hayo, kwa hiyo hatuwezi kusita kuyasemea haya ya Chama Cha Mapinduzi kwa sababu ndiyo tunayoishi nayo"- Maganya.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Fadhili Maganya akizungumza na walimu Makada wa CCM mkoani IringaView attachment 3089314
Join the USHINDI chain
Huu ndio ukweli wenyewe!.
P
Nyie CCM, endeleeni tu kutupandia kichwani mbegu za mawazo mbadala za kuwaondoa. Kuna siku mtajuta. Hilo mkae mkijua. Ni kiburi kama hiki kilichofanya watu kama nyie baada ya kuondolewa kwa nguvu, walipelekwa kwenye viwanja na kufungwa kwenye nguzo huku wakiwa na vitambaa vyeusi machoni. Kisha yanakwisha.
Hakuna marefu yasiyo na ncha!Ushi ndi ni lazima ni code ya ushindi kwa njia yeyote pamoja na kuiba kura napia kuiba uchaguzi mazima El magufuli na jecha.
Nimefurahi umenikumbusha Gbadolite, nimeikumbuka Chato Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!Hakuna marefu yasiyo na ncha!
Lakini siku yake kwenye Makazi yake yaliyopo ktk kijijini kwao Gbadolite, alimsahau Hadi mke wake
Mayyala kweli we ni njaaaNimefurahi umenikumbusha Gbadolite, nimeikumbuka Chato Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!
P
We unaturetea maswala ya zamani?? Sisi tupo kidijitali analogy mtateseka mpaka mfe. USHINDI NI.......... malizia hapoHakuna marefu yasiyo na ncha!
Hata Dikteta Mobutu Sesseseko aliyekuwa Rais wa zamani wa Zaire (sasa hivi Congo DR) pia aliwahi kuwatangazia Wananchi wote wa nchi hiyo ya Zaire na dunia yote kwamba yeye ni "Rais wa maisha nchini Zaire".
Lakini siku yake ilipofika alilazimika kuikimbia nchi hiyo ya Zaire bila kupenda, alikimbia ili awahi kupanda ndege ya kumtorosha kutoka kwenye Makazi yake yaliyopo ktk kijijini kwao Gbadolite, alimsahau Hadi mke wake na ndege ya Jeshi iliyokuwa ikimtorosha ililazimika kurudi Tena kwenye maegesho ili Walinzi wake wakamchukue mke wake aliyemsahau na kumuacha nyuma.
P unampango wa kurudi Kawe?Huu ndio ukweli wenyewe!.
P
Huu ndio ukweli. Tanzania hakuna vyama vya siasa kwa ajili ya kuwatumikia Watanzania. Wapo kwa ajiri ya matumbo yao. Ndio maana unaona hawana dira, hawawezi kuungana, sera zao hazieleweki."Kuna kitu naona kinapita mtandaoni ninafikiri cha katibu wa wilaya fulani, watu wanapiga kelele sana oooh ushindi ni lazima, sijui hivi sijui vile, hiyo inajulikana mbona! Ushindi wa Chama Cha Mapinduzi ni lazima, na CCM haina mpango wa kutoka madarakani kesho, kesho kutwa na miaka huko mbele. Sasa hatuwezi kuona aibu, sisi viongozi sisi wanachama kusema kwamba ushindi ni lazima, na inaendana na mipango, mikakati na mambo mengine yanayofanana na hayo, kwa hiyo hatuwezi kusita kuyasemea haya ya Chama Cha Mapinduzi kwa sababu ndiyo tunayoishi nayo"- Maganya.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Fadhili Maganya akizungumza na walimu Makada wa CCM mkoani Iringa
View attachment 3089314
Join the USHINDI chain
Makasiriko hayo Ndugu 🙏Naona umevimbiwa maharage
Mhhh !Sawa,ila kifo ndiyo vitawatoa madarakani
Ova
Uzuri mwanadam hatuishi mileleMhhh !