CCM ushindi asilimia 100

CCM ushindi asilimia 100

Katika kile kinachoelezwa kuwa CCM kinazidi kukubalika na kupendwa zaid na watu hali inayozidi kuimarisha ubora wake kwa wapinzani, Maeneo mbali mbali ambayo amekuwa akipita mgombea huyo amelazimika kusimama na kusalmiana na wananchi katika maeneo tofauti tofauti kulinganisha na wapinzani wake ambao bado hawajafikia hata theluthi ya maeneo ambayo Magufuli ameyaoitia huu ni ushindi tosha kwa CCM kutokana na hali ilivyo kwa sasa wapinzani wameshaanza kutoa maneno ambayo yana ashiria kushindwa baada ya kuona moto wa Magufuli si mchezo wameanza kupwaya na kupaniki hali iliyoanza kuonekana hata kupaniki kwao na kutoka nje ya mada,,Hii ndio CCM ambayo inafanya siasa za kisasa na zenye dira kwa jamii

Ccm kweli moto wa kuotea mbali
yaaan pamoja na maigizo wanayoyafanya wakina mbowe lakin bdo hali n tete

Viva ccm
 
Katika kile kinachoelezwa kuwa CCM kinazidi kukubalika na kupendwa zaid na watu hali inayozidi kuimarisha ubora wake kwa wapinzani, Maeneo mbali mbali ambayo amekuwa akipita mgombea huyo amelazimika kusimama na kusalmiana na wananchi katika maeneo tofauti tofauti kulinganisha na wapinzani wake ambao bado hawajafikia hata theluthi ya maeneo ambayo Magufuli ameyaoitia huu ni ushindi tosha kwa CCM kutokana na hali ilivyo kwa sasa wapinzani wameshaanza kutoa maneno ambayo yana ashiria kushindwa baada ya kuona moto wa Magufuli si mchezo wameanza kupwaya na kupaniki hali iliyoanza kuonekana hata kupaniki kwao na kutoka nje ya mada,,Hii ndio CCM ambayo inafanya siasa za kisasa na zenye dira kwa jamii

Ushindi kwa CCM ni lazima tena ushindi wa kishindo
 
Sitawachagua wagombea viti mbalimbali wa ccm maana hakuna la maana watakalo lifanya tofauti na kuwapa wachina gesi kwa sababu ya fidia ya dogo Riz1 ya kukamatwa na madawa na kukwepa kunyongwa.
 
Matumaini ya mgonjwa hayo,wenzio wameona wameguna,hata kama unapewa posho hapo umeongopa na watakupiga chini muda sio mrefu
 
CCM hiihii ya mgombea baunsa? mwaka huu mabadiliko hayakwepeki
 
Mtoa mada ariwahi kuanguka chooni ivyo mopuuzen APA ni m4c tu
 
Katika kile kinachoelezwa kuwa CCM kinazidi kukubalika na kupendwa zaid na watu hali inayozidi kuimarisha ubora wake kwa wapinzani, Maeneo mbali mbali ambayo amekuwa akipita mgombea huyo amelazimika kusimama na kusalmiana na wananchi katika maeneo tofauti tofauti kulinganisha na wapinzani wake ambao bado hawajafikia hata theluthi ya maeneo ambayo Magufuli ameyaoitia huu ni ushindi tosha kwa CCM kutokana na hali ilivyo kwa sasa wapinzani wameshaanza kutoa maneno ambayo yana ashiria kushindwa baada ya kuona moto wa Magufuli si mchezo wameanza kupwaya na kupaniki hali iliyoanza kuonekana hata kupaniki kwao na kutoka nje ya mada,,Hii ndio CCM ambayo inafanya siasa za kisasa na zenye dira kwa jamii

.........Wewe pia ni Great Thinker?? Unajua maana ya 100%?
 
Back
Top Bottom