CCM, uchaguzi na political communication | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM, uchaguzi na political communication

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MiriamB, Mar 26, 2011.

 1. M

  MiriamB New Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapendwa wa jamiiforums,

  Ninatoka Ulaya, nilikuwepo Tanzania kutoka mwezi wa 7 mpaka mwezi wa 12, na sasa ninaandika kwa chuo kuhusu "Political Communication during the 2010 Tanzanian Elections".

  Ninatafuta information kuhusu budget ya campaign. Kuna mtu anayeweza kunisaidia?

  Pia nimeona kwama Diamond aliimba wimbo "Mbagala" kwa CCM wakati wa campaign (alibadilisha lyrics). Mnajua kama Diamond alipata pesa kutoka CCM na ngapi?

  Asante na salamu nyingi,
  Miriam
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mh,...no comment
   
Loading...