CCM: Tutazindua kampeni kwa kishindo leo Arumeru

Wambie bwana.

By Sihali
Hiyo picha tuu hapo ni dalili tosha kwamba wanakazi ya ziada kushughulikia kushindwa kwao. Chadema jengeni chama chenu kwanza kisha muanze kutukana msitukane wakunga na uzazi mungalinaooo CCM OYEEEEEE

Mipasho haisaidiii jiangalieni nchi inaweweseka....... mmenyweshwa maji ya maiti nyie........teteeni nchi semeni ukweli fedha za kagoda.......epa.......Kiwira.......wizi wa Richmond........Dowans...........sema hali ikoje JK kuwakana richmomd baadae Lowassa anamueleza kuwa anawafahamu JK anakubali..kuwa nawafahamu hiyo ni akili au matope. Kukataa kitu unachokifahamu fika na kujifanya akili hamna ni dalili za mtu mjamzito. Nyie wote mnashadadia ujinga...... CCM imeoza kila ktu wizi...viongozi wazinzi tena wa machangudoa.......muulize malima. Nawashangaaa sana......na mtashangaaa mikosi inawaaandama lakini hamtajua kuwa mnashiriki kunywa damu ya Watanzania wanaoteseka ambao kila kukicha manung'uniko kwa Mungu wao juu ya hali kuwa ngumu.......wakati Mungu huyohuyo kaweka raslmali za kutosha nchini........nyie hadi hii dhambi hamuioni..........wapuuzi nyie..............namchukia Mtanzania anayeuza uraia wake kwa kununuliwa viroba nakusahahu maisha waliyonayo bibi zake......na babu zake na wajomba zake huko vijijini..........na kushidwa kujua wanae baadae wataishi vipi ...........watarithi nini baadae.....kama...kila kitu kinabebwa.Aghhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!! Mmeniharibia siku..japo ni kawaida yenu nyie wanawake kupiga mipasho ila hapa mnapotea. Ngoja niachie hapo isije kuwa nawaelewasha madada wanaosubiri kula fedha za wahishimia walioko Arusha.
 
Hapo ngarasero kuna mashoga wawil bila shaka watakuwepo kumsaport jamaa yao
 
Hongera CCM kwa kuwa na viongozi imara wenye uwezo mzuri wa kujenga hoja za msingi kwa wananchi na kueleweka ndiyo maana CCM inapendwa na kuchaguliwa na wananchi ,Kidumu Chama Cha Mapinduzi CCM!
 
Back
Top Bottom