mleta maada umeleta ukweli ila kunawatu wale wenye akili za kushikiwa hata akimkuta mkewe anajamaa ndani ya chumba tena geust haamini kama mkwewe alikuwa anatembea na jamaa ndio unawaona wanaleta ujinga usio na tija kwa chama hata taifa. Tafakari sana kabla ya kutoa povu for nothing