CCM tupo katika mwanguko mkubwa

Kwa kweli umenena bila kumumunya maneno. Kazi kwetu sisi kama vijana kuikomboa nchi yetu 2015 kupitia CHADEMA chini ya Rais wetu Dr Slaa.

rais wa nchi gani huyo mshukiwa namba 1 wa ugaidi
 
Wabunge wa ccm wanawajua wanaowateka ,kutesa nakung'oa kucha na meno,hivyo wanaogopa kuchangia bungeni wanaogopa yatawafika hayo.
 
Mleta mada hebu tupia hii kitu kwenye gazeti kinaweza kuwastua jamaa toka usingizini! Safi sana mkuu imetuliaa!
 
Mleta mada hii,Mungu akubariki sana.Maana maandiko matakatifu yanasema kuwa bali Waoga wote na wasioamini, sehemu yao ni katika ziwa liwakalo moto na kiberiti.Kwa hapa unawaambia viziwi walio na masikio lakini hawasikii,vipofu walio na macho lakini hawaoni,MWISHO WAO NI KUZIMU TU!!!
 
Wewe ndiyo wa kuulizwa kama akili yako ni timamu. Ni bora mtu anayemwamini mtu anayemwona kuliko wewe unayemwamini huyu mwanzisha thread aliyejificha nyuma ya keyboard. Nikikwambia mimi ni baba yako mzazi utakubali?

Hawezi kukubali....ila ukisema wewe ni mzimu wa marehemu babu yake atakubali!
 
Hewala mkuu kwa kutambua ukweli bila kuonyesha uzito wa akili ya kung'amua mambo!!!!!!

 
huwezi kuwa mwanaccm wewe hata siku moja. sasa hivi mnapanga kwenda kumteka nani vile? nauliza tu!


 
Well composed, usipoambiwa wewe ni mwanachadema nitashangaa. Maana hata Filikunjombe alipowaambia ukweli huu bungeni walimwita mwanachadema. CCM hawapendi kuambiwa ukweli. So sidhani kama kuna mwanaCCM atasikiliza na kuzingatia haya. Naamini watayachukulia kuwa yamesemwa na CHADEMA. Hiyo ndiyo akili yao na ndiyo uwezo wao wa kuchambua mambo.
 
Ni kweli kwamba kwa jinsi huyu ndugu yetu alivyozama na kuibuka na uchambuzi wa hali ya juu kuhusu madhila ya CCM katika vipindi mbali mbali; wala hatuoni ajabu yoyote kwa baadhi ya wana-CCM wasiopenda kukosolewa wakimkana huyu mwenzao na hata kumbatiza kwamba katumwa na CDM.

Wengi tulikua tunatarajia kusoma kitu kama hicho hasa mara baada ya kusoma uchambuzi makini mno hapo juu.

 
Well said!km wana ccm wenzako wangekuwa na uweled km wako mambo yangekuwa saf kabisa!Swal langu kwako,je wabjtnge na mawazir hawaon matatizo ya wananch?je,ilan ya chama chenu ya maisha bora kwa kila mtanzania imefanikiwa?labda kwa kueneza udin km kugombea kuchnja na viongoz wa din kushambuliwa kwa silaha za moto n.k,je,kutekwa kwa raia na km dr ulimboka,kibanda kupgwa risas kwa padr mushi haya ndio maisha bora?Wabunge na mawazir wa chama tawala wanatoa majibu mepes ktk hoja nzto!Ameteswa dr ulimboka ni zaid ya mwaka sasa hakuna tunachojua nini kinaendelea km aliyefanya hayo amekamatwa au la?na km ni yule mkenya kes imefikia wap?yaliyompata ulimboka is like copying & pasting kwa kibanda!!Nan amemtesa kibanda au ni yule mkenya aliyewekwa ndan??NISAIDIE MAJIBU MTZ MWENZANGU,USIKASIRIKE UKISIKIA MTU ANAKUAMBIA SERIKAL YAKO NI DHAIFU BUT WAPASWA KUMUUNGA MKONO KTK HILO
 
Ndg Delako,

huyu ndugu amefanya kazi kubwa sana. Ukitazama kiundani zaidi lengo lake ni kutafuta namna ya kuboresha CCM. Lakini ni sikitiko kubwa kwamba kila mtani wa kijani aliyepata kutia mguu kwenye thread hii ama kamtukana sana huyu ndugu au kumkana kabisa badala ya kuyafanyia kazi maoni yake mazuri haya.

Sala zetu ni kuja kupatikana siku moja mtu mwenye moyo mpana kule CCM kiasi cha kuweza kufyonza mishale yote ya kukosolewa na akachukua mawazo bila chuki kuyafanyia kazi zaidi kwa lengo la kupata maendeleo mema na wala si kutafuta watu uchawi muda wote.

 
Wana-CCM sasa hadi wa Ki-China tena kwenda kuwanyonya kabisa wananchi vijijini? Masikini wakuu wa kijani!!!!


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…