Ccm tuonee huruma watanzania

Ccm tuonee huruma watanzania

dr.makarang

Member
Joined
Jul 5, 2013
Posts
98
Reaction score
25
Salaam wana JF

Nimewaza pengine heading hapo juu itakielezea hiki nilichonacho kichwani,maisha ni magumu kiasi kwamba hakili pia inafubaa,hata uwezo wa kufikilia unapungua.CHAMA CHA MAPINDUZI NI WATU ambao pia ni watanzania wenzetu kiuraia ila wazungu kimaisha ,tena kwa fedha zetu watanzania .Hawana huruma kabisa na hawajari siku zote.sikutengemea kama wanawez kufukia hatua kama hii ya sasa,wanatuona watanzania wote ni mbumbumbu,hatunazo kichwani.Mwanzoni mwa mwezi wa sita nilipita barabara ya kwa mama zacharia mpaka Kijitonyama,sikuamini rami ilikua pale imekua matope,tena mashimo kabisa,sikuwez kuendelea maana nilihofia gari langu kufia pale pale.Nilichokifanya nikaamua kufuatilia barget aliyopewa mkandarasi pale,nilitamani kulia japo sijalia mpaka leo kwa sababu hakuna atakae nisikiliza.Jana nilipata ajari ubungo barabara mpya ,mtu aligonga site mirrow yangu,cz barabara ni nyembamba kuliko zote kwa hapa jijini dar,,,.NO ONE CAN ASK JUST DO IT,pengine ndo kauri zao.Hawajui yaliyoko mioyoni mwa watu na hata hawajari.Mbona kote mmebana nyinyi,tutaishije sisi,mnamkomoa nani?.Huyo mnae mkomoa mnataka afanyeje ndo muache?.Kwa nini humwoni AIBU,hamhofii kuzomewa au pengine kudhurika?,,,,aaah >>>>>TUNA AMANI SIO?.TUHESHIMIANE.:A S shade::A S shade::A S shade::A S shade:
 
mkuu tatizo hapo ni mfumo. haya hayatakoma mpaka ccm watoke madarakani waingie watu wapya na fikra mpya (sio kama za kina lema lakini). kuna kitu kinaitwa 10% na nipe changu kwanza. yaani mtu au mhandisi yupo tayari kuiba hata BOQ (Bill of Quantity) ampe mtu ambaye anajua atampatia cha juu hata kama hana uwezi wa kufanya ile kazi.
KWA KIFUPI TU; KWENYE HII SYSTEM KUNA MADUDU YALIYOPITILIZA YANAYOFANYWA NA HAWA WATAWALA WETU (NATUMIA WATAWALA MAANA WAMEPOTEZA HADHI YA KUITWA VIONGOZI)

hata hivyo 2015 haiko mbali. fanya maamzi sahihi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom