mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,182
Wakati wa kampeni ya uchaguzi uliopita CCM tulikuwa na kauli mbiu inayosema "Wapinzani wataisoma namba".
Lakini ninachokiona mimi ni kwamba sisi CCM ndo tunaisoma namba. Wanaotumbuliwa majipu wote ni wana CCM.
Wapinzani hawajaguswa kabisa. Ama kweli tunaisoma namba. Laiti ningejua ningepiga kura vinginevyo.