Ni utaratibu wa kawaida kabisa mtu anapoomba kazi anaambiwa atoe majina 'kadhaa' kama reference. Na mara nyingi huwa wanataja idadi ya watu wanaohitajika kwenye hicho kipengele cha refence, mfano watu watu. Hivyo kwa CCM kuweka idadi ya wadhamini kwa kila mgombea ni utaratibu wa kawaida kabisa. Lakini cha kushangaza, watu wameambiwa wadhamini wanaotakiwa ni 450, halafu wanatafuta wadhamini 120,000! Hiyo tu inaonesha ni jinsi gani mtu hafuati maelekezo.