Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,178
- 162,659
Hilo lipo wazi toka mwanzo lakini mtu anachukua wadhamini hadi 3,000 ili kuwakomoa wenzie maana mtu mmoja hawezi kudhamini zaidi ya mtu mmoja.
Mleta mada,
Katika kipindi kama hiki ulipaswa ujikite zaidi na chama chako cha UKAWA sijui CHADEMA....Mambo ya CCM tuachie wana CCM wenyewe.
Mleta mada,
Katika kipindi kama hiki ulipaswa ujikite zaidi na chama chako cha UKAWA sijui CHADEMA....Mambo ya CCM tuachie wana CCM wenyewe.
Mleta mada,
Katika kipindi kama hiki ulipaswa ujikite zaidi na chama chako cha UKAWA sijui CHADEMA....Mambo ya CCM tuachie wana CCM wenyewe.
Siyo kwa kila mkoa bali nchi nzima wanatakiwa 450.
Sasa kama mgombea anaweza kuonesha kwamba anakubalika na wadhamini wengi zaidi, kwa nini kumzuia?
Kwa nininCCM inaqeka kikomo cha wadhamini? Kwa nini haikusema inataka angalau wafhamininkadhaa lakininisiweke kiwango cha juu?
Inaogopa kuanzisha a tangible opinion poll?
Kwa nini CCM inaogopa sauti za watu?
Kwa sababu inataka kuwachagulia wananchi rais badala ya wananchi kuchagua rais wao?
Uko sahihi kwa asilimia 95.Hapo wanamlenga Lowassa tu.....
Hiki chama jamani hivi kina mwanyekiti kweli?
Myopia!! anything in the public space kama hili la watia Nia sio exclusive kujadiliwa na CCM Zealots kama wewe peke yao!! ni swala lenye athira pana kwa taifa kwa ujumla; kila mwananchi ana haki ya kushiriki Uchambuzi, tafakuri na udadavuzi wake kwa maslahi mapana ya taifa! grow up! Bs
Mbona kila siku tulikuwa tunamjadili Zitto na ACT?
Hii ndio siasa yetu na hasa hapa JF!
Chuki binafsi na makundi ni huko huko CCM si hapa JF!Wewe siku zote uwa na kieleele...Zitto mwenyewe alisema wazi kuwa amewapuuza...sasa dume zima kushinda mitandaoni kumjadili mtu ambae amekupuuza unaona sawa tu?