- Thread starter
- #21
Mkuu ninamaanisha kujiunga na kambi ya Lowassa. Ni kweli Anne Kilango amekwisha kisiasa ndani ya CCM na kwa sasa anamwogopa sana Lowassa kwa sasa ila sina hakika kama tayari amejiunga na kambi ya Lowassa rasmi. Nahisi bado anapima upepo. Anna mtihani mkubwa sana 2015 kama ataweza kurudi bungeni, maana kwa sasa Same Mashariki hali yake ya kisiasa ni tete sana. Binafsi namshauri asigombee kabisa ubunge 2015 ili kulinda heshima yake maana naona aibu yake imekaribia sana.Mkuu,Anne akiliango anyooshe mikono mara ngapi!!?
Kwisha habari yake