CCM tuachane na Chongolo na Sophia Mjema

Lack of focus issue other than kudandia
 
Sema Wazi kwenye suala la Bandari Chama chako kimechagua "goli lisilolala njaa". Kila mnaposhambuliwa mnajifunga wenyewe.
acha ukenge, bandari inaingiaje hapo. Acheni ushamba kufanya suala la bandari km fasheni. Sasa hivi mtu akiongelea bandari anajiona yuko na fashen, washamba tu nyie, suala hilo limeshaisha subiri utekelezaji
 
Hi,

Wana CCM hatujawai kupata timu mbovu kama hii ya Chongolo na Mjema. Yaani hawa watu sijui walichaguliwaje, kichwani ni weupe kabisa, hawajui kujenga hoja, hawana ushawishi wowote.

Angalia hizi combination afu linganisha na hii combination ya Chongolo.

Kinana & Nape

Bashiru & Polepole

Hizi combination zilikuwa hatari, zilikuwa zinajua kujenga hoja kwelikweli, na zilikuwa na mvuto na ushawishi.

CCM tuondoleeni Chongolo na Mjema hawatufai.
Hawana shida.tatizo ni kutetea ufisadi.
 
Combination ya kwanza Kinana na Nape ilikuwa kutetea ufisadi.

Bashiru, Polepole uzalendo zaidi.

Wote wako juu ya Chongolo, Mjema. Teuzi za hovyo kama teuzi nyingi serikalini.
 
Nyakati zimebadilika, teknolojia, uelewa wa wananchi ni changamoto.
Hata nchi zilizoendelea walipitia humo humo mwisho wakaona haiwezekani tena kudanganya na kunyonya wenzao, ukoloni mkongwe ukaanzishwa na leo mamboleo unaendelezwa kwa gharama yoyote Ile.
We have to think out of the box.
 
Hi,

Wana CCM hatujawai kupata timu mbovu kama hii ya Chongolo na Mjema. Yaani hawa watu sijui walichaguliwaje, kichwani ni weupe kabisa, hawajui kujenga hoja, hawana ushawishi wowote.

Angalia hizi combination afu linganisha na hii combination ya Chongolo.

Kinana & Nape

Bashiru & Polepole

Hizi combination zilikuwa hatari, zilikuwa zinajua kujenga hoja kwelikweli, na zilikuwa na mvuto na ushawishi.

CCM tuondoleeni Chongolo na Mjema hawatufai.
JamiiForums-787880945.jpg
 
Usisahau;
6. Corruption
7. Nepotism

8. Lack of Transparency
9. Poor policy
10. Land allianation
11. Poor allocation of the resources
12. Regionalism and Religinalism
13. Tribalism
14. Selfishness
 
Combination ya kwanza Kinana na Nape ilikuwa kutetea ufisadi.

Bashiru, Polepole uzalendo zaidi.

Wote wako juu ya Chongolo, Mjema. Teuzi za hovyo kama teuzi nyingi serikalini.
Haaaa Bashiru nae kazi kuiba uchaguzi kishamba

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
Hi,

Wana CCM hatujawai kupata timu mbovu kama hii ya Chongolo na Mjema. Yaani hawa watu sijui walichaguliwaje, kichwani ni weupe kabisa, hawajui kujenga hoja, hawana ushawishi wowote.

Angalia hizi combination afu linganisha na hii combination ya Chongolo.

Kinana & Nape

Bashiru & Polepole

Hizi combination zilikuwa hatari, zilikuwa zinajua kujenga hoja kwelikweli, na zilikuwa na mvuto na ushawishi.

CCM tuondoleeni Chongolo na Mjema hawatufai.
Mjema tumemuweka kando, Chongolo anatafutiwa sababu.
 
Hi,

Wana CCM hatujawai kupata timu mbovu kama hii ya Chongolo na Mjema. Yaani hawa watu sijui walichaguliwaje, kichwani ni weupe kabisa, hawajui kujenga hoja, hawana ushawishi wowote.

Angalia hizi combination afu linganisha na hii combination ya Chongolo.

Kinana & Nape

Bashiru & Polepole

Hizi combination zilikuwa hatari, zilikuwa zinajua kujenga hoja kwelikweli, na zilikuwa na mvuto na ushawishi.

CCM tuondoleeni Chongolo na Mjema hawatufai.
Bado Chongolo Naye Siku Zinahesabika....
 
Back
Top Bottom