Ndugu wanaJF; Chama cha mapinduzi (CCM) kitashinda kwa kura nyingi katika uchaguzi ujao hata kama watu watapinga lakini ukweli ndiyo huu.
Kumekuwa taarifa za vijana kujiunga cdm na baadhi ya wazee lakini kuna hazina kubwa sana ya kura za CCM. Vijana ambao wamejitambua zaidi wamekuwa wakijiunga CCM na wenye ufikiri mdogo ndiyo wanaenda CHADEMA.
Pia waswahili walishasema usimwamshe aliyelaa ila cdm wamewaaamsha ccm na mambo yanayofanywa na CCM sasa yatawalainisha wananchi na kuipigia kura tena CCM.
Najua wapo mtaaopinga na kutukana lakini huo ndiyo ukweli.

Hivi hawa watu wenye uwezo huu wa kufikiri kwa nini wapo jamvin..??? Hii ni sehemu ya Ma-great thinkers...!!
uko nyuma ya wakati
--------.......mpumbav
Ndugu wanaJF; Chama cha mapinduzi (CCM) kitashinda kwa kura nyingi katika uchaguzi ujao hata kama watu watapinga lakini ukweli ndiyo huu.
Kumekuwa taarifa za vijana kujiunga cdm na baadhi ya wazee lakini kuna hazina kubwa sana ya kura za CCM. Vijana ambao wamejitambua zaidi wamekuwa wakijiunga CCM na wenye ufikiri mdogo ndiyo wanaenda CHADEMA.
Pia waswahili walishasema usimwamshe aliyelaa ila cdm wamewaaamsha ccm na mambo yanayofanywa na CCM sasa yatawalainisha wananchi na kuipigia kura tena CCM.
Najua wapo mtaaopinga na kutukana lakini huo ndiyo ukweli.
Kabla ya kuleta uzi uwe unatafakari......!!Hata wewe ni great thinker?
With or without Zitto UKAWA will rule. We Tanzanians are tired of this exploitative scheme by ccm, many ccm leaders are too corrupted to change. We take the popular slogan of His Excellence pres. B. Obama, "TIME FOR CHANGE" in TZ. The downfall of ccm is inevitable.
ni katika ngazi zote kuanzia urais hadi udiwani.chama kinakubalika na zaidi baadhi ya majimbo ambayo wapinzani waliazimwa wananchi wameahidi kuyarudisha ccm.
Hadi sasa hakuna chama kinachoweza kuitikisa ccm..sana ni kelele Za chura tu.watabaki kuwa wasindikizaji tu
My Take. Ccm tupatieni rais bora.wabunge bora na madiwani bora..

anguko la uchaguzi serikali za mitaa ni kiashiria kizuri cha kuendelea kuporomoka..My Take. Ccm tupatieni rais bora.wabunge bora na madiwani bora..
ni katika ngazi zote kuanzia urais hadi udiwani.chama kinakubalika na zaidi baadhi ya majimbo ambayo wapinzani waliazimwa wananchi wameahidi kuyarudisha ccm.
Hadi sasa hakuna chama kinachoweza kuitikisa ccm..sana ni kelele Za chura tu.watabaki kuwa wasindikizaji tu
My Take. Ccm tupatieni rais bora.wabunge bora na madiwani bora..
Ndugu wanaJF; Chama cha mapinduzi (CCM) kitashinda kwa kura nyingi katika uchaguzi ujao hata kama watu watapinga lakini ukweli ndiyo huu.
Kumekuwa taarifa za vijana kujiunga CHADEMA na baadhi ya wazee lakini kuna hazina kubwa sana ya kura za CCM. Vijana ambao wamejitambua zaidi wamekuwa wakijiunga CCM na wenye ufikiri mdogo ndiyo wanaenda CHADEMA.