CCM ilishajifia na mwezi wa kumi tunatoa matangaUmeandika utopolo mtupu
Mbona hamna picha ya tetemeko.
Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
HuhPicha ilitokea mwisho Polepole alikuwa amekataa kwenda kutoa tangazo la kufunga,wenziwe walimsusia ,kama unakumbukumbu za hapa na pale ilichukuwa zaidi ya nusu saa ndipo alikubali kuja na hata hivyo hakusema sana kama ilivyo kawaida,someni alama za nyakati na hao nyumbu waliokusanyika kuimba walikuwa kama punda waliokata kamba,something wrong kwenye show.
Nyimbo zote hakuna jipya bora hata ile ye Jamani Membe huyoo Membe nasikia hapa mitaani mpaka watoto wadogo wanaiimba,
CCM kama taasisi ilikufa mwaka 2016. CCM Magufuli itakufa siku ambayo Magufuli ataondoka. Wana CCM baada ya hapo watalazimika kuanzisha CCM upya.Ccm ilishajifia na mwezi wa kumi tunatoa matanga
Hakika huo ndiyo ukweli ingawa wanajibaraguza tu.CCM kama taasisi ilikufa mwaka 2016. CCM Magufuli itakufa siku ambayo Magufuli ataondoka. Wana CCM baada ya hapo watalazimika kuanzisha CCM upya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwetu mashinikizo yote ya ndani ya bara la Afrika na kutoka nje ya Afrika, wakikomaza shingoKama hakuna jumuiya ya kimataifa kuwalazimisha wamtangaze mshindi halali, sahau tetemeko lolote! Ingekuwa siyo ECOWAS, Yahya Jameh angelikuwa bado madarakani!
Kwa maneno upo sahihi, Lakini kiukweli hali ni tofautiShocker, Sasa ccm zimebakia bendera tu ndiyo hai
Tamasha limeangaliwa na dunia nzima, watanzania wamepata uelewa mkubwa sana kupitia nyimbo za wasanii na wamerahisishiwa kujua kazi aliyofanywa na ccm.Kazi kwao wapinzani kuubadili upepo wa janaEndeleeni kujitekenya na kucheka..lakini kama mliweza kuangalia nyimbo za kuisifu ccm tena hadi saa sita usiku basi jibu mnalo tayari.