MNEC Maganya amjibu Nchimbi, Ni nani aliyezuia Katiba mpya? Ni nani amesema hakutakuwa na Katiba Mpya?

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,883
Reaction score
6,402
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi ya CCM na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), Rajabu Maganya, amesema mchakato wa Katiba Mpya ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2030.

Maganya amesema mchakato huo hauwezi kukamilika ndani ya mwaka mmoja, lakini ameeleza kushangazwa na baadhi ya vyama vya siasa na watu wanaohamasisha wananchi kupigania Katiba Mpya kana kwamba imezuiwa.

"Ni nani aliyezuia Katiba Mpya? Ni nani amesema hakutakuwa na Katiba Mpya?" amehoji Maganya, akisisitiza kuwa Serikali na CCM hazijawahi kutangaza kuwa mchakato huo hautafanyika.

Maganya ametoa kauli hiyo leo, Julai 24, 2026, jijini Dar es Salaam, wakati akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika eneo la Sinza, Wilaya ya Ubungo.

Soma Pia: Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya

Kauli yake imeibua mjadala miongoni mwa Watanzania, ikitolewa siku ambayo Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Dkt. Emmanuel Nchimbi, pia alizungumzia suala la Katiba Mpya wakati wa Mkutano Mkuu wa 15 wa wanachama wa watetezi wa haki za binadamu uliofanyika leo, Julai 24, 2026.

View attachment 3636317
Faki zati sonofabitch! Madai ya Katiba mpya hayajaanza leo wala jana. Kwanini Katiba mpya haijapatikana, kama hakuna mtu aliyezuia?
 
Mara baada ya hotuba ya Dr Nchimbi kuwataka wananchi kuipambania katiba mpya.

Sasa lumumba kimeumana haswaaaa
 
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi ya CCM na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), Rajabu Maganya, amesema mchakato wa Katiba Mpya ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2030.

Maganya amesema mchakato huo hauwezi kukamilika ndani ya mwaka mmoja, lakini ameeleza kushangazwa na baadhi ya vyama vya siasa na watu wanaohamasisha wananchi kupigania Katiba Mpya kana kwamba imezuiwa.

"Ni nani aliyezuia Katiba Mpya? Ni nani amesema hakutakuwa na Katiba Mpya?" amehoji Maganya, akisisitiza kuwa Serikali na CCM hazijawahi kutangaza kuwa mchakato huo hautafanyika.

Maganya ametoa kauli hiyo leo, Julai 24, 2026, jijini Dar es Salaam, wakati akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika eneo la Sinza, Wilaya ya Ubungo.

Soma Pia: Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya

Kauli yake imeibua mjadala miongoni mwa Watanzania, ikitolewa siku ambayo Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Dkt. Emmanuel Nchimbi, pia alizungumzia suala la Katiba Mpya wakati wa Mkutano Mkuu wa 15 wa wanachama wa watetezi wa haki za binadamu uliofanyika leo, Julai 24, 2026.

View attachment 3636317
Wabishi wa JF nadhani sasa mnaiona dhamira ya Nchimbi. CC Erythrocyte , Retired
 
Ccm ni very disorganized institute!! Sasa haya mambo hawaongeagi kwenye hivyo vikao vyao vya Halmashauri wawe na msimamo mmoja mpaka waje wapingane Public kila mtu aongee la kwake? Inashangaza!!
Ni organize ndio maana inakupiga kira uchaguzi?

USSR
 
Maccm yanaparuana yenyewe laana ya lisu inawatesa.
wanajizima data, wakiambiwa mtoeni korokoroni wanapotezea kwa kusema ni suala la mahakama ndio itaamua, sasa ngoja laana iwatafune mpaka maji watayaita ma. We mpaka jumuiya ya madola wanapiga kelele wamuachie huyo mjuba lakini wanakula kubisi
 
Back
Top Bottom