Tuliahidi, tumetekeleza, tunasonga mbele kwa madaha na mkikogo kama yote....Tunga ngonjera, andika mashairi, imba mapambio lakini haibadili hali halisi kwamba CCM tuliyonayo leo kimekuwa chama chakavu baada ya kuvamiwa na watu wenye tamaa ya vyeo na utajiri wa wizi. Ni chama kilichojaa watu wenye hila, majungu, majivuno, makatili, fitina, majungu, mafisadi walafi wasiotosheka na hakipo tena kwa mnufaa ya ustawi wa taifa na wananchi wake. Kwasasa chama kina viongozi walio wengi na watendaji wenye giriba, waongo, wavivu, wababaishaji, wanafiki, wasanii nk. Niambie bunge ni CCM watupu, kuna la maana la kujivunia?
mkunjue mbowe kwanzaJikite kwenye mada
nje ya madamkunjue mbowe kwanza
Kwa comment yako hii, inaonyesha uozo wa viongozi wa CCM na kutokuaminiana. Tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya iliongozwa na Warioba (CCM) na iliundwa na Rais Kikwete (CCM), Samia (CCM) akawa makamu m/kiti wa bunge la katiba lililojadili maoni na mapendekezo ya tume ya Warioba. Wabunge waliokuwa wengi ni CCM.Tuliahidi, tumetekeleza, tunasonga mbele kwa madaha na mkikogo kama yote....
CCM inajivunia kuwa na watu wa aina zote ikiwa ni pamoja wema sanaaaa, na wengine wenye tabia ulizoelea kwa umahiri mkubwa sana.
Kwasabu ndicho unachoweza kukifanya na kuipromote CCM kwa kila comment yako.......
Bunge lililopo linatawaliwa na CCM na bunge lijalo baada ya uchaguzi wa 2025 litatawaliwa na CCM, na vilevile bunge la Katiba lijalo kwa asilimia zaid ya 90 litatawaliwa na CCM na , kwenye kura za maoni Katiba mpya upande wa CCM ndio utakao shinda kwa kishindo....
Serikali ya CCM ndio itakayoanza kutumia Katiba mpya na ndio itakua inabadili madhaifu ya Katiba hiyo ikiwa inafaa.....
Kidumu chama Cha mapinduzi.
Alafu wewe tlaatlaah, tatizo katiba ya nchi mnadhani ni kijitabu cha kisiasa, mnafikiri ni kama ilani ya chama na mnaichukulia kishabiki. Mkikuwa mtaelewa nyie chezeni na wanasiasa.Tuliahidi, tumetekeleza, tunasonga mbele kwa madaha na mkikogo kama yote....
CCM inajivunia kuwa na watu wa aina zote ikiwa ni pamoja wema sanaaaa, na wengine wenye tabia ulizoelea kwa umahiri mkubwa sana.
Kwasabu ndicho unachoweza kukifanya na kuipromote CCM kwa kila comment yako.......
Bunge lililopo linatawaliwa na CCM na bunge lijalo baada ya uchaguzi wa 2025 litatawaliwa na CCM, na vilevile bunge la Katiba lijalo kwa asilimia zaid ya 90 litatawaliwa na CCM na , kwenye kura za maoni Katiba mpya upande wa CCM ndio utakao shinda kwa kishindo....
Serikali ya CCM ndio itakayoanza kutumia Katiba mpya na ndio itakua inabadili madhaifu ya Katiba hiyo ikiwa inafaa.....
Kidumu chama Cha mapinduzi.
😅kwahiyo Katiba sio kitabu cha kisiasa? na vile vingine sio vitabu vya dini, right?Alafu wewe tlaatlaah, tatizo katiba ya nchi mnadhani ni kijitabu cha kisiasa, mnafikiri ni kama ilani ya chama na mnaichukulia kishabiki. Mkikuwa mtaelewa nyie chezeni na wanasiasa.
2015-2025 kutakua na kundi kubwa mno limeingia na linaingia lenye sifa, haki na wajibu wa kutoa maoni. Na waliotoa maoni wakati huo wengine hawapo kabisa na waliopo wamebadili mawazo na mitazamo walioitoa 2015...Kwa comment yako hii, inaonyesha uozo wa viongozi wa CCM na kutokuaminiana. Tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya iliongozwa na Warioba (CCM) na iliundwa na Rais Kikwete (CCM), Samia (CCM) akawa makamu m/kiti wa bunge la katiba lililojadili maoni na mapendekezo ya tume ya Warioba. Wabunge waliokuwa wengi ni CCM.
Ni kichekesho ukiundwa tume nyingine kwa jambo hilohilo. Hata mjinga hawezi kufanya kitu kama hicho.
Vipi kuhusu mwenyekiti wa chama? Ulitaka kufuatia hierarchy ktk teuzi basi pia badilisheni katiba na kanuni ya chama chenu ili mgombea urais kupitia ccm ni lazima awe mwenyekiti wa ccm taifa.kwa kawaida ya taasisi ungetegemea Katibu Mkuu Kitaifa apatikane miongoni mwa Makatibu bora wa Mkoa au Sekretariati za Makao Makuu.