CCM Tabora kimenuka!

Pamoja na historia ya kutukuka ya mji wa Tabora, mchango wa wananchi wa Tabora katika kuikomboa Tanzania kutoka kwa mafisadi haupo kabisa! Wamebaki wakitumikishwa katika mashamba ya tumbaku kama manamba!
 
Nabado subilien date 15.06.2015.kiongozi mkubwa ccm ameundiwa zengwe kubwa.
 
Mimi nasema hivi bora kinuke tu, tena kinuke mpaka kiwanukie kwani tumeshachoka sasa hapa Tabora Mjini na hiki chama...tunamtaka Athuman Said Sudi wa CUF atuongoze wana Tabora Mjini.
 
Ma CCM unaweza ukakuta yamezulumiana takrima.
 
Mbunge msomali sijui hakuna watz huko

jembe;
Acha ubaguzi akikusikia rege nakuambia atakutoa roho na lile libastola lake shaurilo. Namfaham yule aliwahigi kuny.ea mtondooo si wamkumbuka. Haogopi jela yule anaogopa Mungu na njaa tuu:A S-rap::A S-rap::msela:
 
Pamoja na historia ya kutukuka ya mji wa Tabora, mchango wa wananchi wa Tabora katika kuikomboa Tanzania kutoka kwa mafisadi haupo kabisa! Wamebaki wakitumikishwa katika mashamba ya tumbaku kama manamba!

Mkuu sema taratibu unatutonesha kidonda wanyamwezi wenzangu wa tbr sijui nani kawaroga,miaka 54 ya Uhuru Barbara ya lami bado haijafka mkoani kuunganishwa na miji mingine.
Usafiri pekee uliobaki wa uhakika wa reli umehujumiwa hakuna kitu,kikubwa kilichibaki ni kile sanamu la Nyerere,halafu wamelalia masikio na CCM lao.
Na wazee wale waganga wa matambiko na michawi yote ya mjinivinashabikia CCM! Kweli CCM na shetani wa na unasaba
 
:A S-rap: :A S-rap: :msela: :msela:

WACHA WAMALIZANE! PARAPARAPARARAAA!
 
Na bado,,! Mpaka kioze sio kunuka tu!
 
hii laana imeletwa na aden rage baada ya kumshambulia mtu wa mungu Swai .
 

Attachments

  • attachment-2.jpeg
    4.4 KB · Views: 329
  • attachment-5.jpeg
    12 KB · Views: 330

Kila kihusucho ccm kwasasa ni beleshi la udongo kaburini mwa chama chawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…