hongera chadema kwa kupita bila kupingwa...tayari mna jimbo moja mkononi kabla ya uchaguzi....CCM INA VITI 21 VYA UBUNGE NA 500 VYA UDIWANI....15% YA VITI VYOTE....! je nchi huchukuliwa kwa kuachia viti vyote hivyo?
Jamani, yasije kuwa kama ya Busanda mwaka jana, CCM walizomewa weee baadae upinzani tukaanguka.
Tuendelee kufanya kazi kwa bidii kuhakikisha hawa wakereketwa wanatoka kwenda kupiga kura, kuhakikisha hatuibiwi kura, na ku focus kwenye kuvutia wengine zaidi na zaidi kununua sera za CHADEMA.
Vinginevyo yatakuwa ya "chenga twawala."
hongera chadema kwa kupita bila kupingwa...tayari mna jimbo moja mkononi kabla ya uchaguzi....CCM INA VITI 21 VYA UBUNGE NA 500 VYA UDIWANI....15% YA VITI VYOTE....! je nchi huchukuliwa kwa kuachia viti vyote hivyo?
Kosa la Busanda ni lipi tusilirudie Bukombe?Kosa la Busanda halirudiwi huku!
gani?Nadhani CHADEMA walifanya makosa Busanda
Wewe vipi jibu la Masa umelifuta halafu unauliza tena unafikiri sisi hatuoni, jibu ni hilo hilo ulilolifuta.gani?
Ndugu, hapa huwezi kufuta andiko la mtu, kuna rekodi. Nilichofanya ni kunukuu kipande ambacho niliona kinahusiana na Busanda. Hayo ya Bihalamuro niliona siyo niliyouliza.Wewe vipi jibu la Masa umelifuta halafu unauliza tena unafikiri sisi hatuoni, jibu ni hilo hilo ulilolifuta.
Kumbe ulielewa unajifanya kulizunguka jibu.Ndugu, hapa huwezi kufuta andiko la mtu, kuna rekodi. Nilichofanya ni kunukuu kipande ambacho niliona kinahusiana na Busanda. Hayo ya Bihalamuro niliona siyo niliyouliza.
Sasa kama alikusudia kile alichosema kuhusu Bihalamuro pia kieleze kilichofanyika Busanda basi angetumia umakini kwenye kuunda sentensi yake. Hakuweka koma baada ya neno Bihalamuro.
Ukisema "Nadhani CHADEMA walifanya makosa Busanda na Bihalamuro CCM waliiba kura na kununua mawakala wa wapinzani!" maana yake, kwa nilivyofundishwa darasa la kwanza mpaka la tatu, ni kwamba Bihalamuro ndio kuliibiwa kura na kununuliwa wapinzani. Angaweka koma kabla ya neno CCM basi yote baada ya koma yangehusisha Buhilamuro na Busanda. Soma tena hiyo sentensi yake unaweza kunielewa.
Tutawezaje kuchukua uongozi wa nchi, wapinzani wenzangu, kama hatuko makini kwenye ufasihi wa mawasiliano na pia wakati mwingi kujawa na jazba?
Hapana, ni baada ya wewe kuonyesha kilichonuiwa kuandikwa mara ya kwanza.Kumbe ulielewa unajifanya kulizunguka jibu.
Ndugu, hapa huwezi kufuta andiko la mtu, kuna rekodi. Nilichofanya ni kunukuu kipande ambacho niliona kinahusiana na Busanda. Hayo ya Bihalamuro niliona siyo niliyouliza.
Sasa kama alikusudia kile alichosema kuhusu Bihalamuro pia kieleze kilichofanyika Busanda basi angetumia umakini kwenye kuunda sentensi yake. Hakuweka koma baada ya neno Bihalamuro.
Ukisema "Nadhani CHADEMA walifanya makosa Busanda na Bihalamuro CCM waliiba kura na kununua mawakala wa wapinzani!" maana yake, kwa nilivyofundishwa darasa la kwanza mpaka la tatu, ni kwamba Bihalamuro ndio kuliibiwa kura na kununuliwa wapinzani. Angaweka koma kabla ya neno CCM basi yote baada ya koma yangehusisha Buhilamuro na Busanda. Soma tena hiyo sentensi yake unaweza kunielewa.
Tutawezaje kuchukua uongozi wa nchi, wapinzani wenzangu, kama hatuko makini kwenye ufasihi wa mawasiliano na pia wakati mwingi kujawa na jazba?
jipe moyo, kwani wakati uatakapofika usije huzunika sanaNamfahamu Prof Kahigi
Ni makini na adili
Naamin CCM wamechemsha mpaka sasa bado kubwagwa kwenye sanduku very soon.