Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,614
Mkuu FUSO umepotea siku nyingi!Polepole endelea kufukiza moshi ndani ya pango ili wahuni waibuke !!
Mkuu,Wengine baba zao walikuwa waburudishaji kwenye vita wakati wanaume wanapigana.
Leo wanasema wao ndio pekee na vizazi vyao ndio wanastahili ulaji wa keki ya taifa
polepole ni mwana CCM mwenzetu - tumjibu hoja zake !!Mkuu FUSO umepotea siku nyingi!
Vipi unadhani Polepole ni mjanja kuzidi watu wasiojulikana?
Silence is death, and you, if you talk, you die, and if you remain silent, you die. So, speak out and die. Tahar DjaoutHahahaha mtajuana wenyewe huko
Polepole naye ni mmoja ya wasiojulikana. Wasiojulikana maana yake ni watu wanaofanya kazi kwa siri lakini tunaishi nao mtaani..Mkuu FUSO umepotea siku nyingi!
Vipi unadhani Polepole ni mjanja kuzidi watu wasiojulikana?
Mkuu,polepole ni mwana CCM mwenzetu - tumjibu hoja zake !!
Kwahiyo ni UNKNOWN WHO IS KNOWN?Polepole naye ni mmoja ya wasiojulikana. Wasiojulikana maana yake ni watu wanaofanya kazi kwa siri lakini tunaishi nao mtaani..
HakikaSilence is death, and you, if you talk, you die, and if you remain silent, you die. So, speak out and die. Tahar Djaout
Kwahiyo Polepole inabidi tu aongee au siyo?
Lakini mbona Makamba aliongea na yupo hadi leo? Mbona Warioba anaongeaga na yupo hadi leo? Kwahiyo tutarajie Polepole naye aongee na aendelee kuwepo hadi mtondogoo... CCM ina wenyewe.....Silence is death, and you, if you talk, you die, and if you remain silent, you die. So, speak out and die. Tahar Djaout
Kwahiyo Polepole inabidi tu aongee au siyo?
Polepole amembakisha mtu mmoja tu kwenye safu na ambaye mtu huyo mimi namhurumia sana (amebaki kama mtoto yatima).hapo anaekwenda kuumia ni polepole, nape sidhani kama hata atajadiliwa.
Mkuu kumbe ndo mpango mzima wa Lowassalize 2025? Kweli CCM wameanza kutusomesha namba za rangi nyingine basi.Kwahiyo ni UNKNOWN WHO IS KNOWN?
Mbona sasa hatumchukulii hatua za kisheria kama tunamjuwa kuwa anafanyakazi kwa siri na tunaye mtaani?
Mkuu, hii ya Polepole ni #agendasetting, yaani tuna strategize to Lowassalize 2025.
Hili limekuwa kosa la viongozi wetu wengi. Wakiwa na madaraka hawayaoni mapungufu hasa ya katiba. Lakini once wanapotoka/kutolewa ndiyo huja na "KATIBA MBOVU". Na kulalamikaMkuu,
Kuna majira hoja hazitakiwi hata kama ni nzuri. Membe aliomba asikilizwe hoja zake lakini kumbe ombi lake lilitoka majira ambayo hoja hazikutakiwa.
Polepole akubali tu kuwa cheo ni dhamana kama imani ya chama inavyosema.
Kosa la Polepole ni kutotumia dhamana ya cheo alichokuwa nacho kipindi hicho ambacho hoja hazikutakiwa (hawakutaka hoja) kujenga mfumo ambao kumbe ungekuja kumpa fursa ya hoja zake kusikilizwa leo ambapo dhamana yake imetanguka.
Mkuu,Mkuu kumbe ndo mpango mzima wa Lowassalize 2025? Kweli CCM wameanza kutusomesha namba za rangi nyingine basi.