CCM siipendi Lowassa simwamini

Kwa UKAWA na Edo HAPANA KABISA KUPATA KURA YANGU Mimi na Magufuli tu
 
Wewe hujui kuwa JPM atakuwa chini ya MWONGOZO wa MWENYEKITI (JK) mpaka 2017? au hujui hii maana yake nini kwa ccm?

CCM lazima wamweke 'sawa' RAIS mpya kabla hajawaharibia mambo yao. JPM hatakuwa na MENO ya kubadili mfumo wa CCM - Kama bado hujaelewa, JK ndie boss wa ccm mpaka 2017. Na Rais anawajibishwa na Chama chake (ndio maana wanasema "Serikali ya CCM")
 
Km mie ila kubwa mama tz hivyo ukombozi kwanza ss mengine yatafuata ccm siitaki kabisa na Lowasa simpendi ila pombe anaingia hatiani kwa ajili hiyo tu

Ni kweli tupo wengi sana ambao tupo njia panda. Inabidi wanasiasa walijue hili.
 
Naomba nikwambie kitu kimoja,
Ccm wamezidisha nyodo kuwa hata wakiwa wabovu watu wanawachagua tu kwa vile wao ni chama mama,
wamekuwa na kauli mbovu,
wamekuwa walaji hela kiholela tena si kwa siri bali ni waziwazi.
so tunachotakiwa kufanya sasa ni kuwaonyesha kwamba uwezo wa kuwatoa tunao.
 
Nyerere alipoomba uhuru kwa waingereza aliwaambia watanganyika kua tunaomba uhuru kwa waingereza wasipo tupatia,tutamwomba mungu atusadie ,na tusipo pata tutamwomba hata shetani atusaidie mana shida yetu ni uhuru wa tanganyikaaa

Ailikuwa enzi hizo, siku hizi shetani hana nafasi mbele ya Mungu.
 
Nawashauri mchague lowasa ,ni heri umchague usiemwamini kuliko unaemchukia,na uzuri ushasema unataka mabadiliko na yapo chadema c ccm Mkuu ,kumbuka ni rahisi kufanya kazi na mtu usie mwamini kuliko usie mpenda!!

Hiyo philosofia ni kali kweli kweli
 
Magufuli atauweza mfumo CCM uliotufikisha hapa????
 
Wewe hujui kuwa JPM atakuwa chini ya MWONGOZO wa MWENYEKITI (JK) mpaka 2017? au hujui hii maana yake nini kwa ccm?

CCM lazima wamweke 'sawa' RAIS mpya kabla hajawaharibia mambo yao. JPM hatakuwa na MENO ya kubadili mfumo wa CCM - Kama bado hujaelewa, JK ndie boss wa ccm mpaka 2017. Na Rais anawajibishwa na Chama chake (ndio maana wanasema "Serikali ya CCM")
 
Nyerere alipoomba uhuru kwa waingereza aliwaambia watanganyika kua tunaomba uhuru kwa waingereza wasipo tupatia,tutamwomba mungu atusadie ,na tusipo pata tutamwomba hata shetani atusaidie mana shida yetu ni uhuru wa tanganyikaaa

Ndo hii inasemwa hata kwa kushirikiana na shetani ili mradi tuitoe CCM?
 
Ni kwa muda tu atakuwa mwenyekiti, ila rais wa nchi haongozwi na mwenyekiti wa chama. Huu ndo ukweli na Magufuli sio puppet type.
 
Ikatokea rais kafanya yake kama katiba inavyomruhusu, nafasi ya mwenyekiti wa chama iko wapi hapo? Anamuwajibishaje? Kwa nguvu yake ya turufu ya huyo mwenyekiti au kwa njia ya vote of no confidence? Sioni wanafiki wengi ndani ya sisiemu ya Magufuli.
 
Ni kwa muda tu atakuwa mwenyekiti, ila rais wa nchi haongozwi na mwenyekiti wa chama. Huu ndo ukweli na Magufuli sio puppet type.

Ni kwa muda tu atakuwa ameshatengenezwa kuwa FISADI, muulize M.kapa na KIWIRA yake.
 
Kama tungekuwa na mifumo mizuri ya uwajibikaji ya kuweza kumtoa mtu tusiyemtaka ingekuwa safi sana. Ila kusota miaka mitano hadi kumi ni mingi sana...wanasiasa wanatutenda vibaya sana."usimwamini mwanasiasa yeyote" by ZZK
 
Ikatokea rais kafanya yake kama katiba inavyomruhusu, nafasi ya mwenyekiti wa chama iko wapi hapo? Anamuwajibishaje? Kwa nguvu yake ya turufu ya huyo mwenyekiti au kwa njia ya vote of no confidence? Sioni wanafiki wengi ndani ya sisiemu ya Magufuli.

Katiba ipi unayoizungumzia, ya WANANCHI au ile PENDEKEZWA na ccm? Kama ndio ile ya ccm, basi hamna kitu hapo! Chama kitamshughulikia tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…