...Katika hali ya kawaida muendelezo wa MIPASHO na UMBEA anaouendeleza...Lakini pia Diallo ana usafi gani kuona uchafu wa wenziwe????
Tumaini la Watanzania......Anasubiri tu kuapishwa,wambea waendelee kutunga sana na kufitinisha lkn wajue watanzania wana siri nzito mioyoni mwao,Viva Lowassa Viva ....Rais Mtarajiwa
Rais mtarajiwa
![]()
Tumaini la Watanzania......Anasubiri tu kuapishwa,wambea waendelee kutunga sana na kufitinisha lkn wajue watanzania wana siri nzito mioyoni mwao,Viva Lowassa Viva ....Rais Mtarajiwa
na bado mitifuano Hii itaipeleka ccm kaburini
Lowassa sio waziri mkuu mstaafu...
Unabii unatimia kaka....tutashuhudia mengi sana mwaka huu na ujao kabla ya kifo chao CCM
Mbwa kamla mbwa........
CCM vipande-vipande.
Rais mtarajiwa![]()
HahahaaahhhKumbe ma mwigulu hana mamlaka?