WanaCCm wa shinyanga wameshatangaza kuwa Kikwete ndio mgobea pekee wa CCM mkoani humo according to Katibu wa CCM mkoani humo ,Mohamed Mbonde!Tatizo kubwa la shinyanga na mikoa mingi ,watu kama akina Mbonde i guess ni watu wa kuja,hawana passion ya maendeleo ya mkoa.I guess Mh Shibuda he cares about Shinyanga than this unknown Mr Mbonde.
Huo mkoa hata mwenyekiti wa CCM wa mkoa ndio kinara wa wana mtandao kwa hiyo sio ajabu kwa mbonde kufuata wimbo mtamu wa hakuna kama JKWanaCCm wa shinyanga wameshatangaza kuwa Kikwete ndio mgobea pekee wa CCM mkoani humo according to Katibu wa CCM mkoani humo ,Mohamed Mbonde!Tatizo kubwa la shinyanga na mikoa mingi ,watu kama akina Mbonde i guess ni watu wa kuja,hawana passion ya maendeleo ya mkoa.I guess Mh Shibuda he cares about Shinyanga than this unknown Mr Mbonde.
Loh...!dah kama unavyotujua sisi kina ngosha mie mwenyewe nilishangaa baada ya kusikia kwenye vyombo vy habari
sisi ni ndoho Tabu ,everything ndoho tabu
Umemtafuta na kumuuliza?Huyo katibu kasema hayo kwa ridhaa ya kikao gani? Upuuzi mtupu!
Soma vizuri bandiko mama la mada hii! then unaweza kujibu kama ulivyojibu ama laa.Kibunango unatumia Ukabila card!hata mafisadi wa kihindi wanatumia race card ukisema kuwa Rostam,Patel na wengineo ni mafisadi.Hii inafunga majadala kabisa.
watu wa mikoa hii mikubwa wakisema chochote cha maendeleo,wenye madaraka na maswahiba wao wanacry foul ya ukabila.what a rubbish and stupidity