CCM Shinyanga wammaliza Shibuda

mmakonde

JF-Expert Member
Dec 26, 2009
966
66
WanaCCm wa shinyanga wameshatangaza kuwa Kikwete ndio mgobea pekee wa CCM mkoani humo according to Katibu wa CCM mkoani humo ,Mohamed Mbonde!Tatizo kubwa la shinyanga na mikoa mingi ,watu kama akina Mbonde i guess ni watu wa kuja,hawana passion ya maendeleo ya mkoa.I guess Mh Shibuda he cares about Shinyanga than this unknown Mr Mbonde.
 
Kama makanusho ni hayo ya kinafiki; inabidi ifikie hatua sasa watu ambao si wazawa wa SHINYANGA waondoke na vyeo vyao wakavifanyie makwao; unaongea ugoro yaani katiba ya CCM ni zaidi ya Katiba ya nchi? anajua kweli chochote huyu au ndio mashabiki wanaishi kwa kutegemea furaha ya wakubwa bila wao kujishughulisha
 
labda mbonde anampenda sana shibuda kwa hiyo hayuko kuona shibuda anakufa kama shehe mtabiri yahaya alivyotabiri na utabiri huo kutolewa tamko rasmi na lkulu kuwa uheshimiwe.
 
WanaCCm wa shinyanga wameshatangaza kuwa Kikwete ndio mgobea pekee wa CCM mkoani humo according to Katibu wa CCM mkoani humo ,Mohamed Mbonde!Tatizo kubwa la shinyanga na mikoa mingi ,watu kama akina Mbonde i guess ni watu wa kuja,hawana passion ya maendeleo ya mkoa.I guess Mh Shibuda he cares about Shinyanga than this unknown Mr Mbonde.
Huo mkoa hata mwenyekiti wa CCM wa mkoa ndio kinara wa wana mtandao kwa hiyo sio ajabu kwa mbonde kufuata wimbo mtamu wa hakuna kama JK
 
Wote wanatetea kula yao hao, wote wamewekwa na JK sasa hawawezi wakamwaga MBOGA ya JK maana yeye atamwaga UGALI wao.
 
Shibuda ni kubwa jinga,wewe subiri utaona yeye ndie atakayeongoza kamati ya ushindi wa JK.Kama hutaki sikulazimishi!
 
Bwana Malunde,wewe sio passionate na mkoa wa Shinyanga!Nyie ndio sell out,wananchi wetu ni poor,very poor !Umeshafika vijijini shinyanga?jaribu kulinganisha na wenzetu wa Moshi,Arusha!!!
Watu wanalalia vitanda vya ngozi,no hope at all.Angaliani matokeo ya mitihani !Mohamed Mbonde anaweza kuwa katibu wa CCM kule anapotoka,kama CCM iko imara Shinyanga kwa nini wasimchague mwenyeji wa mkoa.Je unaweza kupata Katibu wa CCM Tanga,Moshi,Mtwara mtu toka shinyanga?

As i say ,wananchi wa Shinyanga na mikoa ya jirani ,serikali ya CCM imetake for granted ,they can do whatever they want.
 
dah kama unavyotujua sisi kina ngosha mie mwenyewe nilishangaa baada ya kusikia kwenye vyombo vy habari
sisi ni ndoho Tabu ,everything ndoho tabu
 
Kibunango unatumia Ukabila card!hata mafisadi wa kihindi wanatumia race card ukisema kuwa Rostam,Patel na wengineo ni mafisadi.Hii inafunga majadala kabisa.
watu wa mikoa hii mikubwa wakisema chochote cha maendeleo,wenye madaraka na maswahiba wao wanacry foul ya ukabila.what a rubbish and stupidity
 
shinyanga eeh mukwibha,wasukuma na baiskkeli warabu na pajero.kwa kweli yaani basi tu
 
Sina lolote na waarabu wa Shy,maana wengi wameassimilate ,na wengi ni sukuma speaking .Ila wengi wameenjoy prosperity generations na generations.angalia vinu vya mafuta,transport etc.also biashara ya diamonds ndio wenyewe tangu miaka na miaka since enzi ya mwadui,hata kabla ya maganzo !

tatizo ni waarabu wa Saudia na brand yao ya islam.
 
Kibunango unatumia Ukabila card!hata mafisadi wa kihindi wanatumia race card ukisema kuwa Rostam,Patel na wengineo ni mafisadi.Hii inafunga majadala kabisa.
watu wa mikoa hii mikubwa wakisema chochote cha maendeleo,wenye madaraka na maswahiba wao wanacry foul ya ukabila.what a rubbish and stupidity
Soma vizuri bandiko mama la mada hii! then unaweza kujibu kama ulivyojibu ama laa.

Bandiko hili limejaa ukabila na linanuka ukabila!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom