CCM: Shilingi ya Amani haichezewi Chooni

Baraghash

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
2,713
1,789
Mfululizo wa matukio ya kuzorotesha amani hayawezi kupita bila kukemewa. Serikali zot mbili zinaongozwa na chama cha CCM.Chama hiki hakiwezi kukwepa lawama kuwa hakina mkono wake kwa rai kuwa CCM ndio mlezi mkuu wa Taifa.

Kuyafumbia macho au kuyapalila si ishara njema. Chama kisiwagae wananchi kiasi cha kuumizana na kutiana ngeu na huku Gazeti la chama hicho tawala kuwa mshereheshaji. Inatia huruma na hofu.Ndimi na kalamu zetu zitatoponza. YAKIMWAGIKA GAYAZOKEKI
 
Back
Top Bottom