Ha ha ha ha labda hatua ya kununua ndege mbili wakati tulikuwa nazo kumi na mbiliSo far kama nchi tumepiga hatua. Kasoro zipo tutazirekebisha mdogo mdogo
Hamna mwanaCCM wa ukweli anayejuta. Kama kuna mtu anajuta basi jua huyo yupo ktk kundi la wale wezi. CCM yajenga nchi.Mkuu walituimbia " tumejipanga mwaka huu mtaisoma ccm ni ile ile oooh ni ile ileee". Sasa wao ndiyo wanaisoma namba na wanajuta
Tena limekaa kwenye zile kengele!Isipokuwa jipu maarufu la Lugumi tu ndo limekaa kwenye nyetiiii!
Mkuu ila aangalie ikifika 2020 itabidi arudi kuwaomba ridhaa! Na ndiyo siku wenye ccm yao watakapoibuka. Na kwenye mng'ang'ande huo ndipo utakuwa mwisho wa CCM kutawala Nchiutaisoma namba weye,ccm ni ileile ileile!
kaubeti haka! kaliimbwa sana na wanachama wa ccm! wakijipromote na kujipamba kwa nyimbo za kifisadi.
chama hicho kilikuwa kikijikomba kwa Mh Raisi na kumtungia vijinyimbo mbalimbali ili kuendeleza maovu ya kuendelea kujilipa mishahara hewa na kujenga majumba na kuiba makontena bandalini.
hatimaye ndani ya ccm kuna watu wenye uchungu na nchi yao! akiwemo Mh raisi John Pombe Magufuli. sasa walimsingizia lawasa kaiba pesa kumbe ni wao wenyewe wanaanza kuumbuka talatibu na kuuludia umasikini wao wazamani maana hakuna tena vibonasi na vivocha visivyo kuwa na maana.
niwengi hawapendi Mh Rais anavyo fanya kwa sababu ya ujizi walio kuwa nao wa kutafuna pesa kama mchwa yaani kuvuna pasipo kupanda.
sasa na mtoke mapovu sana tuu,maana malipo yote ni hapa hapa duniani,na sisi tunamuombe JPM azidi kuwatumbua majipu!
Hapa tupo sawaMagufuli ni RAIS mzuri sana, Wengi kwa sasa hatutamwelewa, najua wengi mnalalamikia AJIRA, siku serikali ikitangaza kuachia ajira zake na nyongeza ya mshahara na kupandishwa madaraja nadhani mtaanza kubadili gia angani dhidi yake.
Mimi ni UKAWA lakini napendezwa sana na anayofanya Mh. Rais, ukiachilia mbali swala la DEMOKRASIA TU ndo ame-prove failure...
Mengine yote ni mazuri na yananifurahisha na naunga mkono...
Maswala ya Lugumi, IPTL nk. tumpe muda, kwa sababu ni mambo yanayohitaji consultation ya watu mbalimbali hasa wataalamu wake, kumshauri na kuangalia impact yake kwa nchi kwanza kabla hajachukua hatua kali.
Tumpe muda na nafasi Mh. Rais.