CCM sasa wanaisoma namba

CCM sasa wanaisoma namba

mwakyambikig

Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
92
Reaction score
36
utaisoma namba weye,ccm ni ileile ileile!
kaubeti haka! kaliimbwa sana na wanachama wa ccm! wakijipromote na kujipamba kwa nyimbo za kifisadi.

chama hicho kilikuwa kikijikomba kwa Mh Raisi na kumtungia vijinyimbo mbalimbali ili kuendeleza maovu ya kuendelea kujilipa mishahara hewa na kujenga majumba na kuiba makontena bandalini.

hatimaye ndani ya ccm kuna watu wenye uchungu na nchi yao! akiwemo Mh raisi John Pombe Magufuli. sasa walimsingizia lawasa kaiba pesa kumbe ni wao wenyewe wanaanza kuumbuka talatibu na kuuludia umasikini wao wazamani maana hakuna tena vibonasi na vivocha visivyo kuwa na maana.
niwengi hawapendi Mh Rais anavyo fanya kwa sababu ya ujizi walio kuwa nao wa kutafuna pesa kama mchwa yaani kuvuna pasipo kupanda.

sasa na mtoke mapovu sana tuu,maana malipo yote ni hapa hapa duniani,na sisi tunamuombe JPM azidi kuwatumbua majipu!
 
Isipokuwa jipu maarufu la Lugumi tu ndo limekaa kwenye nyetiiii!
 
jana nilisikia makada mbalimbali wa chama cha mapinduzi ccm wakilalamika juu ya utendaji wa kazi wa serikali ya awamu hii mfano mtwara kuna shule za msingi za msingi wanafunzi wanakaa chini wakati serikali kiwaaminisha raia kuwa inabana matumizi walilalamika juu ya hilo swala pia watoto wa wanaccm wapo waliositishiwa ajira zao na serikali mwezi june 2016 wapo nyumbani hawana la kufanya na serikali haitoi hatima yao pia makada wa ccm walilalamika pia wapo watoto wamakada wanategemea mikopo vyuo vikuu serikali bado haijatoa tamko lolote na vyuo vimefunguliwa pia wapo makada wa ccm watumishi wa umma hawapandishwi mishahara vyeo na uhamisho wa kazi umesimama walilalamika pia wapo makada wa ccm wanakoswa madawa hospital na wapo makada wa ccm bei za mazao mbovu pia walilalamika
.
mwisho matatizo ni ya wote uwe chadema ccm act nk
 
Yaani hapo ndo unajihisi umeandika,,, watoto wa ccm wanakaa chini
 
So far kama nchi tumepiga hatua. Kasoro zipo tutazirekebisha mdogo mdogo
 
Haina uhusiano na zile pesa za uzimaji wa mwenge hi kweli? Ule wimbo wa "Wataisoma namba" na "ccm mbele kwa mbele" mlidhani unamuhusu Lowassa na Mbowe!?
Mkuu walituimbia " tumejipanga mwaka huu mtaisoma ccm ni ile ile oooh ni ile ileee". Sasa wao ndiyo wanaisoma namba na wanajuta
 
Tatizo ni pale mtu anapojifanya yeye ni ccm damu au kada maarufu wakati yupo huko kwa ajili ya maslahi binafsi. Kama JPM analijua hilo basi aendeleze wimbi la kuwabana hawa ccm maslahi ili watoke wabaki wa ukweli. Na ninaamini wengi tulionao hapa JF ndo hao akina 'tia mchuzi kwangu pakavu'
 
[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakina lizaboni
 
Magufuli ni RAIS mzuri sana, Wengi kwa sasa hatutamwelewa, najua wengi mnalalamikia AJIRA, siku serikali ikitangaza kuachia ajira zake na nyongeza ya mshahara na kupandishwa madaraja nadhani mtaanza kubadili gia angani dhidi yake.

Mimi ni UKAWA lakini napendezwa sana na anayofanya Mh. Rais, ukiachilia mbali swala la DEMOKRASIA TU ndo ame-prove failure...

Mengine yote ni mazuri na yananifurahisha na naunga mkono...

Maswala ya Lugumi, IPTL nk. tumpe muda, kwa sababu ni mambo yanayohitaji consultation ya watu mbalimbali hasa wataalamu wake, kumshauri na kuangalia impact yake kwa nchi kwanza kabla hajachukua hatua kali.

Tumpe muda na nafasi Mh. Rais.
 
acha mawazo mgando
 
Back
Top Bottom