CCM sasa wameishiwa sera

Bila shaka ni ukosefu wa akili na busara. Bob Marley aliwahi kusema,namnukuu "wisdom is better than silver and gold". Huyu mzee huwa hatumii busara hata chembe na ndo sababu mkuu wa kaya akamwita Tyson. Hiyo ndo ilikuwa fursa nzuri kumwaga sera nakupata wapiga kura zaidi badala yake wanaharibu, God forbid. CCM imechoka hata wakishinda ni kwa mbinu.
 
Back
Top Bottom