William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
- Well, reading the mood ya Bunge la Katiba toka siku Rais alipohutubia tayari ukweli unajisema wazi kwamba the TRUTH has settled in na the bottomline ni juzi Wabunge 440 walipojitokeza na kuunga mkono kwa nguvu kubwa sana Hotuba ya Rais. The fact kwamba kati ya Wabunge hao 440, 135 ni kutoka kwenye Wajumbe walioteuliwa na Rais ambao sio Wabunge wa Bunge la jamhuri ni ukweli usiopigika kwamba Hoja ya Serikali 2 inazungumzika kuliko hoja ya zingine zote na uchaguzi wa jana kwenye kamati za bunge yanazidi kujisema wazi kwamba CCM yenye namba kubwa ya Wabunge bungeni kwa mujibu wa Sheria, ndio yenye nafasi kubwa ya kuandika Sheria kama Sheria inavyosema yaani 2/3 ya Wabunge wengi.
- HOWEVER:-
It is a high time now CCM, wakakaa chini na kuanza siasa za accomodations na compromise in some areas lakini sio zote, pia huu ni wakati muafaka CCM ikayafanyia kazi mapungufu yote yaliyotajwa kuhusiana na Muungano wa sasa, ni muhimu sana CCM ikawatumia hao hao walalamikaji wakubwa kuhusu kero za Muungano wa sasa juu ya ushauri wa namna ya kuyatatua. Kuna hoja nzito sana zimesemwa na wasiotaka Muungano wa sasa na nyingi sio siri zipo valid, sasa zikumbatiwe na kufanyiwa kazi katika kuweka Tanzania kwanza. CCM iendelee kusimamia hoja zake ambazo ni basic yaani the core of its values ambazo zinafahamika sana ikiwa ni pamoja na Serikali 2.
- CCM ndio chama tawala kwa uamuzi wa wananchi wa Tanzania, na sheria ipo wazi kwamba ndio wenye the uppperhand ya maamuzi magumu na pia kusimamia sera zake, wanaodai otherwise wajifunze maana ya kushinda uchaguzi na kuwa wengi bungeni ni pamoja na kuwa na nafasi kubwa ya kuamua Sheria mpya, sio makosa ya CCM ni sheria tulizojiwekea wenyewe!!
MUNGU AIBARIKI TANZANIA!!
Le Mutuz