CCM Sasa Ni Wakati wa Accomodations & Reconciliations!!

CCM Sasa Ni Wakati wa Accomodations & Reconciliations!!

- Well, reading the mood ya Bunge la Katiba toka siku Rais alipohutubia tayari ukweli unajisema wazi kwamba the TRUTH has settled in na the bottomline ni juzi Wabunge 440 walipojitokeza na kuunga mkono kwa nguvu kubwa sana Hotuba ya Rais. The fact kwamba kati ya Wabunge hao 440, 135 ni kutoka kwenye Wajumbe walioteuliwa na Rais ambao sio Wabunge wa Bunge la jamhuri ni ukweli usiopigika kwamba Hoja ya Serikali 2 inazungumzika kuliko hoja ya zingine zote na uchaguzi wa jana kwenye kamati za bunge yanazidi kujisema wazi kwamba CCM yenye namba kubwa ya Wabunge bungeni kwa mujibu wa Sheria, ndio yenye nafasi kubwa ya kuandika Sheria kama Sheria inavyosema yaani 2/3 ya Wabunge wengi.

- HOWEVER:-
It is a high time now CCM, wakakaa chini na kuanza siasa za accomodations na compromise in some areas lakini sio zote, pia huu ni wakati muafaka CCM ikayafanyia kazi mapungufu yote yaliyotajwa kuhusiana na Muungano wa sasa, ni muhimu sana CCM ikawatumia hao hao walalamikaji wakubwa kuhusu kero za Muungano wa sasa juu ya ushauri wa namna ya kuyatatua. Kuna hoja nzito sana zimesemwa na wasiotaka Muungano wa sasa na nyingi sio siri zipo valid, sasa zikumbatiwe na kufanyiwa kazi katika kuweka Tanzania kwanza. CCM iendelee kusimamia hoja zake ambazo ni basic yaani the core of its values ambazo zinafahamika sana ikiwa ni pamoja na Serikali 2.

- CCM ndio chama tawala kwa uamuzi wa wananchi wa Tanzania, na sheria ipo wazi kwamba ndio wenye the uppperhand ya maamuzi magumu na pia kusimamia sera zake, wanaodai otherwise wajifunze maana ya kushinda uchaguzi na kuwa wengi bungeni ni pamoja na kuwa na nafasi kubwa ya kuamua Sheria mpya, sio makosa ya CCM ni sheria tulizojiwekea wenyewe!!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA!!

Le Mutuz

Unaweza kuongea uongeavyo kwa sababu umekuwa mvivu wa kusoma. Soma katiba ya zanzibar na ufikirie kama "inazungumzika" ukishapata jibu ufikirie na huo uharo uliouandika hapo juu. Kuna mtu aliwahi kusema "ukiona mtu anaishabikia ccm ujue ana kasoro fulani hivi" ninawiwa kuunga mkono usemi huo.
 
Kama tungebahatika kuwa na viongoi wenye hekima, kulikuwa na uwezekano wa kupata katiba ya Watanzania wote iliyo nzuri lakini bahati mbaya tunao hawa tulio nao. Kuanzia sheria yenyewe ya uundwaji wa katiba mpya ilifanyika kiujanjaujanja kama si kiujinga ujinga.

Mapungufu makubwa ya mchakato huu yalianzia kwenye sheria yenyewe ambapo iliruhusu uundwaji wa katiba kufanywa na wanasiasa. Mwenyekiti wa chama ndiye aliyechagua wajumbe wa tume badala ya wajumbe kuteuliwa na taasisi za wananchi. Wabunge walioshinda kwa rushwa, wizi wa kura na njama mbalimbali ndiyo limekuwa kundi kubwa la kuunda katiba ya kulinda utu na kujenga maadili. Rais aliyeshinda kwa kutumia hela za EPA ndiye anakuwa kiongozi wa kutoa mwongozo wa bunge la katiba katika kuunda katiba inayosisitiza uadilifu! Tume ya uchaguzi inayolalamikiwa kuwa ni tume ya kusimamia maslahi ya CCM ndiyo itakayosimamia upigaji kura za kupitisha katiba mpya, n.k.

Lazima uwe mbumbumbu kupindukia kuamini kuwa katiba mpya itakuwa na vipengere vya kuzuia uovu unaopendwa na kukumbatiwa na CCM. Na kama kuna mtu yeyote anayeamini hivyo nitamshangaa sana.

Watanzania waliache jambo hili lipite, katiba ya wananchi itaandikwa na wananchi wenyewe walio waadilifu siyo wabunge walioshinda uchaguzi kwa rushwa. Hilo litawezekana pale tu tutakapoupata uongozi wenye maono, dhamira na nia njema, unaojali na kuheshimu maamuzi ya wananchi, uongozi wenye uadilifu siyo uliopatikana kwa hela za EPA au hela nyingine yoyote iliyo chafu.

Watanzania tupiganie kuuondoa utawala hodhi na wa rushwa, na kujenga utawala mpya ulio safi. Tutakapopata uongozi wa namna hiyo, ndipo wananchi watapewa haki na uhuru wa kuandaa katiba inayowafaa. Tusipotezee muda mwingi kuzungumzia huu mchakato kiini macho uliopewa jina la katiba mpya. Katiba inayotengenezwa sasa ina uwezekano wa kuwa hovyo kuliko katiba yoyote tuliyowahi kuwa nayo.

Katiba zilizotangulia hazikushirikisha wananchi lakini viongozi walioziandaa wakati huo walikuwa wazalendo na wenye nia njema siyo kama manyang'au wa sasa.

- At some point CCM tuwe watuwazima na wenye busara, vita imekwisha kilichobaki ni rasha rasha tu, uamuzi ni wetu sio wa wapinzani Sheria ipo wazi na hata hizo compromise uamuzi ni wetu sio kwa kulazimishwa na Wapinzani hapana, hata huko Demokrasia ilipoanzia Chama Tawala ndio wanakuwa the Winner takes all, nimewaona leo bungeni wakijaribu kulazimisha hoja za usawa I mean usawa utattoka wapi na wewe umeshindwa uchaguzi? next time kazana ushinde uchaguzi!1

Le Mutuz
 
Elimu ndogo tu, 'Aliesababisha matatizo hawezi kuyatatua matatio aliyoyasababisha', maana hata uwezo wa kuyatambua ni matatizo, hana. Ndiyo maana CCM inaendelea kushikilia ilichoamini siku zote, wenye akili wanavyouona mwungano si kama wanavyouona CCM.

- Hoja yangu ipo very clear kwamba vita vya Serikali 2 na 3 vimekwisha, sasa ni wakati wa CCM kukaa chini na kutafakari hoja za upande wa pili yaani za Serikali 3, nia na madhumuni yao ni nini hasa na ni kwa sababu gani wamefikia hayo maamuzi kwa sababu siri wanaolilia Serikali 3 wana kero zao nzito sana kumbuka at the heart ya kilio chao ni kuvunja Muungano, sasa unapoona Waziri Mkuu Mstaafu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa CCM anasimama jukwaani na kuanza kulilia kuvunja Muungano, tenba sio kwa siri bali wazi wazi na hata mbele ya bunge la jamhuri lazima kuna tatizo mahali sasa ni wakati wa CCM kukaa chini na kusikiliza baadhi ya hoja zake maana na yeye kuna anao wawakilisha na hizo hoja zake za kutaka kuvunja Muungano.

- CCM ni chama kikubwa sana na kimepitia mengi sana kufikia kilipo, sasa ni wakati wa kumuomba huyo huyo Waziri Mkuu Mstaafu wa CCM Warioba kuongoza kamati ya utafiti wa mapungufu ya Muungano na kuyafanyia kazi mara moja. Lakini CCM kwanza ikubali kwamba yapo mapungufu na iyaseme wazi kwa public and then ndio waanze kuyafanyia kazi.

Le Mutuz
 
WILLIAM,

whats your opinion on the referendum for Zanzibar Independence?

- Jamani samahani sana nilikuwa nimesafiri na sikuwa na access ya mtandao was too busy, ok mkuu sana naomba uelewe kichwa cha hii mada hayo unayoyauliza hapa sio mahali pake fungua thread yake mkuu!!

Le Mutuz
 
Unaweza kuongea uongeavyo kwa sababu umekuwa mvivu wa kusoma. Soma katiba ya zanzibar na ufikirie kama "inazungumzika" ukishapata jibu ufikirie na huo uharo uliouandika hapo juu. Kuna mtu aliwahi kusema "ukiona mtu anaishabikia ccm ujue ana kasoro fulani hivi" ninawiwa kuunga mkono usemi huo.

- Kama nimekuelewa wewe una akili sana kuliko hii mada sasaiweje tena uje uijibu mkuu unajivua nguo kuwa una kasoro flani, maana ukiona mtu anajibu anayoyaita hayana maana basi ujue hana maana au nimekosea kaka?

Le Mutuz
 
Ukikuta wajinga wanagombania mzigo wa mavi basi bora uendelee na safari yako la sivyo na wewe watakupaka kinyesi

- Ok this is great thinker, basi I am out of here mpaka zitokee hoja nzito U know!!

Le Mutuz
 
Nina swali kws muanzisha uzi huu. Hivi 2010 wakati Zanzibar wanaandika katiba inayosema kwamba wao ni nchi, wakaenda mbali zaidi na kuweka kifungu kinachozuia sheria isitumike Zanzibar hadi ijadiliwe Baraza la wawakilishi, Raís alikuwa wapi na ccm yake, leo ndio aje hapa kusema wanaweza kutatua matatizo ya muungano?? Isitoshe ameshindwa kuitetea na kuilinda katiba ya nchi. Miaka 50 ya muungano kuna kero nyingi kuliko faida, kubalini mmeshindwa kuongoza nchi wapeni wengine tuone.
 
- Hizi ni changamoto tu za Muungano zinahitaji kurekebishwa ila sio za ajabu mpaka kudai kuvunja Muungano!!

Le Mutuz
 
- Well, reading the mood ya Bunge la Katiba toka siku Rais alipohutubia tayari ukweli unajisema wazi kwamba the TRUTH has settled in na the bottomline ni juzi Wabunge 440 walipojitokeza na kuunga mkono kwa nguvu kubwa sana Hotuba ya Rais. The fact kwamba kati ya Wabunge hao 440, 135 ni kutoka kwenye Wajumbe walioteuliwa na Rais ambao sio Wabunge wa Bunge la jamhuri ni ukweli usiopigika kwamba Hoja ya Serikali 2 inazungumzika kuliko hoja ya zingine zote na uchaguzi wa jana kwenye kamati za bunge yanazidi kujisema wazi kwamba CCM yenye namba kubwa ya Wabunge bungeni kwa mujibu wa Sheria, ndio yenye nafasi kubwa ya kuandika Sheria kama Sheria inavyosema yaani 2/3 ya Wabunge wengi.

- HOWEVER:-
It is a high time now CCM, wakakaa chini na kuanza siasa za accomodations na compromise in some areas lakini sio zote, pia huu ni wakati muafaka CCM ikayafanyia kazi mapungufu yote yaliyotajwa kuhusiana na Muungano wa sasa, ni muhimu sana CCM ikawatumia hao hao walalamikaji wakubwa kuhusu kero za Muungano wa sasa juu ya ushauri wa namna ya kuyatatua. Kuna hoja nzito sana zimesemwa na wasiotaka Muungano wa sasa na nyingi sio siri zipo valid, sasa zikumbatiwe na kufanyiwa kazi katika kuweka Tanzania kwanza. CCM iendelee kusimamia hoja zake ambazo ni basic yaani the core of its values ambazo zinafahamika sana ikiwa ni pamoja na Serikali 2.

- CCM ndio chama tawala kwa uamuzi wa wananchi wa Tanzania, na sheria ipo wazi kwamba ndio wenye the uppperhand ya maamuzi magumu na pia kusimamia sera zake, wanaodai otherwise wajifunze maana ya kushinda uchaguzi na kuwa wengi bungeni ni pamoja na kuwa na nafasi kubwa ya kuamua Sheria mpya, sio makosa ya CCM ni sheria tulizojiwekea wenyewe!!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA!!

Le Mutuz
nawaomba wale wabunge wanaotaka kura ya wazi wakae upande wao na wale wanaotaka kura ya siri wakae upande wao na wakati wa kupiga kura wale wabunge wa wazi wapige kwa uwazi tuone wamechagua nini na wale wa siri wapige kwa siri wanavyotaka. alafu na sisi wananchi tupewe fursa hiyohiyo anaetaka kupiga kwa wazi apige ili kila mtu ajue amechagua nini na wale wa siri wapige kwa siri. ila mimi kama gogo la shamba naweka wazi kwamba,mke wangu,mtoto wangu au ndugu yangu yeyote anaenitegemea atakaepiga kura kinyume na ninavyotaka mimi atafute mtu mwingine wa kumtegemea. maana ndivyo ccm wanavyotaka.huo ndio msimamo wangu
 
Back
Top Bottom