Mkulima wa Kuku
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 1,270
- 536
Naelewa tunawaza tofauti ila napenda kuwaomba watanzania wenzangu ifike mahali tusiwe vigeugeu.
Tuiambie CCM imetosha miaka yote mliyotutawala sasa basi. Najua hakuna malaika atakayekuja kutawala nchi hii ila naomba sana watanzania wenzangu tubadili serikali nawahakikishia mtaona maendeleo.
Kauli ya kuwa hawana uzoefu nk ni hoja dhaifu, mbona hao CCM wana uzoefu wa wizi nk...chonde chonde tuwaweke chini hawa jamaa tuanze kufurahia maendeleo ya taifa letu.