Fact! Watambue kushinda uchaguzi inahitaji strategy ya mda mrefu! Sio kuota kuwa utashinda uchaguzi ! Never.!Watu wengi wanapenda tu Kuandika 'mabaya' tu kuihusu CCM na Kuonyesha 'Chuki' zao, ila hawatupi 'Mikakati' madhubuti ya Vyama vyao Pinzani.
Na ndiyo maana Kwa hasira tu, hatumtaki huyo kimvuli cha Mabeberu, Kwa sababu tunajua yaliyonyuma yake, ni pamoja na Kampeni hizo za mabeberu!NAWAKUMBUSHA TU WAKUU.
Tanzania ni moja kati ya The Poorest Countries in the World (MASIKINI ZAIDI DUNIANI) inashika nafasi ya 8 kutoka chini. ( Focus economy 2019- 23)
MIAKA 60 YA UHURU.
CCM imetufikisha hapa
Wewe ndo hujaelewa Sera ya Chadema. Hivyo Embu acha kutufokea!!Aje Chama gani na mtu wa hicho Chama ni Nani?
Maana waliopo wameanzisha Sera ngumu na imewashinda hata wao kuitafsiri ili ilete uhalisia
Sera ya kukataa maendeleo ya vitu na badala yake iwe ni maendeleo ya watu?
Hii Sera yenu hii inawaharibia Sana maana hamuifafanui vema na haieleweki
Kwamba hamtaki barabara ila mnataka magari wananchi wawe Nayo!
Hamtaki ndege, Ila Dubai wananchi waende kufuata biashara!
Hamtaki njia iwepo treni, Ila mnataka mizigo iende zambia, Lwanda, Kongo, burundi, n.k !
Hamtaki kujengwe hospital Ila wananchi mnataka waende Hospital kutibiwa siyo?
Hamtaki ujenzi wa shule, Ila mnataka watoto waende shule kusoma? Daah, sasa sjui waende shule kufanya nini sasa
Nyie ni wa kupuuzwa Sana nyinyi na nahisi sasa mmechoka kutumia akili zenu
Mtajua hamjui mwaka huu. Subirini muoneFact! Watambue kushinda uchaguzi inahitaji strategy ya mda mrefu! Sio kuota kuwa utashinda uchaguzi ! Never.!
Hahaaahaaa!!Wewe ndo hujaelewa Sera ya Chadema. Hivyo Embu acha kutufokea!!
Tunamtoa Magufuli mwaka huu na Tunamweka Tundu Antphas Lissu na Chadema. Kwani kuna shida yeyote??? Wananchi ndo tumeshaamua sasa
Mnamtoa jpm kwa mikakati ipi? Acheni kuota? Pambaneni na viti vya ubunge , ambavyo hatmtafikisha hata 10 ,ndo muwaze Urais !Mtajua hamjui mwaka huu. Subirini muone
Endelea tu kuishi kwa akili ya zamani. Mtajua hamjui mwaka huuπMnamtoa jpm kwa mikakati ipi? Acheni kuota? Pambaneni na viti vya ubunge , ambavyo hatmtafikisha hata 10 ,ndo muwaze Urais !
Sasa kati ya Chadema na utopolo Ccm nani wana sera Nzuri na maono mazuri???πππHahaaahaaa!!
Mkuu, tukiwa tunaweka tu viongozi bila kujali Sera na maono juu ya Taifa letu, ni kujiumiza Sisi wananchi
Yaani tuwaweke tu Wakati Sera zao hazieleweki!!
Wewe, unaelewa nini kuhusu maendeleo ya vitu na watu?
Sio kukataa kabisa kila Aina ya Miradi ingawa tunataka maisha Bora mkuu?
Basi tumia nafasi hii unishawishi mkuu
Wewe ndo unaish kwa akili ya zamani ! Ni mara ngap mmekua mkisema mtashind uchaguzi ! Mnaangukia pua?. Huyo Tundu wenu wenu ajiandae tu baada 28 oct arud kwao ubelgiji kwa waliomtuma ! Kushinda Urais asahau!Endelea tu kuishi kwa akili ya zamani. Mtajua hamjui mwaka huu[emoji23]
Kwa Tundu Lissu weka Magufuli alafu malizia atarudi ChatoWewe ndo unaish kwa akili ya zamani ! Ni mara ngap mmekua mkisema mtashind uchaguzi ! Mnaangukia pua?. Huyo Tundu wenu wenu ajiandae tu baada 28 oct arud kwao ubelgiji kwa waliomtuma ! Kushinda Urais asahau!
Mkuu, Okey! Fanya sina akili,Sasa kati ya Chadema na utopolo Ccm nani wana sera Nzuri na maono mazuri???πππ
Kweli CCM mmenyimwa akili kwa kweli!
Sera ya Bima ya AfyaMkuu, Okey! Fanya sina akili,
Niambie basi Sera hizo nzuri za Chadema, kumbuka tupo kwenye Kampeni, hivyo ni vema ukajikita kukinadi Chama na sio kutoa matusi, ingawa Chama chako Kwa mtusi ni Sawa na mtu na mwanae