CCM, Polisi, Magazeti na Redio lao moja

CCM, Polisi, Magazeti na Redio lao moja

Kitila, you have put things in the manifesto which made me walk out of CCM (Kitila, umeweka mambo katika ilani ambayo yalinifanya mimi nitoke CCM). Nikamuulize yapi hayo mzee, akanieleza sera kama vile za elimu bure, serikali kusimamia kilimo, na akanionyesha sura kama mbili hivi katika ilani ambazo kwa maoni yake, na kweli ndivyo ilivyokuwa, zilikuwa haziendani na msimamo wa CHADEMA kiitikadi na kifalsafa.
 
attachment.php



Vyombo vya usalama waraia vinapaswa kutenda haki sawa kwa vyama vyote vya siasa, haijatokea hata siku viongozi wa CCM waliofanya vurugu hadharani na kwa uwazi wakakamatwa kama itokeavyo kwa vyama vya upinzani.

Mfano tukio la uwazi lililotokea Dodoma kushambuliwa kiongozi wa Chadema kwa kutupiwa mawe hadharani na viongozi wa CCM wakiwa washiriki pichani licha ya vyombo mbalimbali kulalamikia na kutundika picha hii kila mahala lakini polisi hawakuchukua hatua stahili.
 

Attachments

  • Kanda wa Chadema akikimbizwa.jpg
    Kanda wa Chadema akikimbizwa.jpg
    57.8 KB · Views: 140
Tutafika vizuri kama tukiweka busara pembeni na kutumia njia nyingine kama yao hao CCM!
 
nimestushwa na kamatakamta inayoendelea ya kwa viongozi wa chadema ktk kampeni zinazoendelea za uchaguzi wa madiwani sehemu mbalimbali vurugu zinazoripotiwa Zinahucsha ccm na chadema lakini wanaokamatwa nichadema tu tena viongozi. kwanini???!
 
Mpige Mchungaji kondoo ili kondoo watawanyike...
 
...mimi nashangazwa na ukimya wa viongozi wa chama katika jambo hili....
 
Hatua hizo hazikwepeki ili ukombozi utimie.
 
Tunahitaji kuwa na taasisi au vyombo vya dola ambavyo viongozi wake hawategemei kuteuliwa kwa hisani ya wanasiasa.
Hali ilivyo sasa hivi ni kwamba viongozi wa polisi na hata mahakama wanajaribu kujipendekeza na kujikomba kwa wanasiasa wakijaribu bahati yao ya kukumbukwa kwa kuteuliwa au kupandishwa vyeo!
 
Nilivyo ziona tu zile picha kwenye huo uzi wa Kahama na story yenyewe ilivyo andikwa (haikutaja chanzo cha fujo, kwanini wafuasi wa CDM walianzisha fujo) nikajua tu moja kwa moja hi kitu imepikwa, na nilipoona mtu wa kwanza ku-comment ni mwana wa mfalme anf bimkubwa FF na zemarcopolo wame like nika join dots, nikaupitiliza ule uzi. "You can fool some people sometimes but you can't fool all the people all the time" By Bob Marley and the wailers!

Aliyeituma taarifa ni William Bundala ambaye alikuwa mtangazaji wa Kahama FM kituo kinachomilikiwa na kada wa CCM na Mbunge wa Kahama James Lembeli na sasa huyu mtangazaji maarufu kama kijukuu cha bibi K ameajiriwa RFA Mwanza kituo cha kada wa CCM pia.Si ajabu jinsi alivyoandika kimamluki kwa kuwa anajaribu kuwa please mabosi wake

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom