nilikuwa off line kwa mda nimerud tenaWewe 16 acha kuseveza watu hapa jamvini kama uko mjengoni mwaga data hapa acha porojo.Tueleze nani kasema nini na response imekuwa vipi.Mara ya mwisho ulitueleza mzee 6 alikuwa anakunywa maji sana na ametoka nje ya mkutano.
Je amerudi na kilichomfanya anywe maji kwa wingi ni nini wakati yeye ni mjumbe tu kama wajumbe wengine au mwelekeo ni kwamba mafisadi wanapata ushindi ndani ya kikao kwa hoja nzito nzito.Toa data kama uko mjengoni.
Asante wa 16 kwa kazi nzuri, naomba usipotee tena, macho na masikio yetu sisi wote hapa chini. yako kwako.nilikuwa off line kwa mda nimerud tena
hapo mwanzo nilisema hivi kundi la lowasa lina nguvu sana na wanaongea sana na kimsingi inaonekana kuwa wengi wa wapinga ufisadi kuna baadhi yao wamefika hapo walipo kwa msaada wa mafisad sasa kuchangia moja kwa moja ni ngumu kwa kuna watu hawajaongea lolote. upande wa hawa wapinga ufisadi kuna mmoja tu ndo kawataja majina kabisa akasema wewe lowasa, rostam ninyi ni watu wawili munaoyumbisha chama hiki
ki msingi kundi la mafidadi litashinda upepo unajionyesha, usitarajie mtu kuwajibishwa hapa, hata mkulu mwenyewe kuna mambo mengi alikuwa hayajui amabo ki msing alipaswa kuyajua kama mkuu wa nchi.
rais amekiri wazi kuwa kuna mahali alifanya makosa kwa kusikiliza ushauri wa mtu tena kiongoz na kwabadilisha nyazifa waziri nishati yule wakwanza(kweye awamu y kikwete) na pia mkurugenzi mmoja toka wizara ya elimu.alipogundua kuwa amedanganywa alfadhaika sana,
6 alisharudi ndani, ni kweli yeye ni mjumbe lakini lakini kuna mahali alizongwa zana na kundi la mafisadi, kila aliyesimama kuchangia wa upande huu alisema spika ndiye chanzo, wengi mchonganishi, ana watu wake bungeni nk nk na ndio kipindi hiki alitoka nje kwa mdaa baada ya kunywa maji.
.nimerekod maongezi toka siku yakwanza ya kikao nina gb nne sasa. naweza kupost hapa janvini moja ya records japo kipande halafu nikaisababishia jf ambayo nimejinga majuzi matatizo. ki ukweli sitaweka labda mmiliki aniambie ila nkipata nafas kama hivi tutahabarisha kwa njia hii.
nilikuwa off line kwa mda nimerud tena
hapo mwanzo nilisema hivi kundi la lowasa lina nguvu sana na wanaongea sana na kimsingi inaonekana kuwa wengi wa wapinga ufisadi kuna baadhi yao wamefika hapo walipo kwa msaada wa mafisad sasa kuchangia moja kwa moja ni ngumu kwa kuna watu hawajaongea lolote. upande wa hawa wapinga ufisadi kuna mmoja tu ndo kawataja majina kabisa akasema wewe lowasa, rostam ninyi ni watu wawili munaoyumbisha chama hiki
ki msingi kundi la mafidadi litashinda upepo unajionyesha, usitarajie mtu kuwajibishwa hapa, hata mkulu mwenyewe kuna mambo mengi alikuwa hayajui amabo ki msing alipaswa kuyajua kama mkuu wa nchi.
rais amekiri wazi kuwa kuna mahali alifanya makosa kwa kusikiliza ushauri wa mtu tena kiongoz na kwabadilisha nyazifa waziri nishati yule wakwanza(kweye awamu y kikwete) na pia mkurugenzi mmoja toka wizara ya elimu.alipogundua kuwa amedanganywa alfadhaika sana,
6 alisharudi ndani, ni kweli yeye ni mjumbe lakini lakini kuna mahali alizongwa zana na kundi la mafisadi, kila aliyesimama kuchangia wa upande huu alisema spika ndiye chanzo, wengi mchonganishi, ana watu wake bungeni nk nk na ndio kipindi hiki alitoka nje kwa mdaa baada ya kunywa maji.
nimerekod maongezi toka siku yakwanza ya kikao nina gb nne sasa. naweza kupost hapa janvini moja ya records japo kipande halafu nikaisababishia jf ambayo nimejinga majuzi matatizo. ki ukweli sitaweka labda mmiliki aniambie ila nkipata nafas kama hivi tutahabarisha kwa njia hii.
If you have anything; you have our blessings... Come out clean. Cut the audio clip, hata kidogo tu kisha tupe! Kama hujui how, we can help you on how to do it.ki ukweli sitaweka labda mmiliki aniambie ila nkipata nafas kama hivi tutahabarisha kwa njia hii.
.
Kama inaweza kuupload wewe pandisha tuu, invisible atakusaidia, usiwe na wasiwasi wa kuisababishia JF matatizo kwa sababu kikao cha CCM ni cha chama tuu, sio issue za national security, wewe shusha tuu, ili JF tuendelee kufungua njia, vyombo vingine vya habari vifuatie.
si unajua ndo wenye dola?!
Ni kweli ndio wenye dola, JF ni over and above, hatuna dola, sisi silaha yetu ni nothing but the truth, ni ukweli huu ndio unaovuka mipaka ya vyama, serikali na dola.si unajua ndo wenye dola?!
If you have anything; you have our blessings... Come out clean. Cut the audio clip, hata kidogo tu kisha tupe! Kama hujui how, we can help you on how to do it.
If you have anything; you have our blessings... Come out clean. Cut the audio clip, hata kidogo tu kisha tupe! Kama hujui how, we can help you on how to do it.
Mkuu,
Kwa hili naomba nitofautiane na wewe.
Sioni busara ya kuweka Audio tape haa jamvini ya kikao halali cha chama.
Ningeshauri utaratibu wa mmoja wetu kusoma na kutupatia briefing kama ambavyo FM ES huwa anafanya.
YY

Hakuna tatizo jamaa akiweka audio, labda tatizo ninaloliona mimi, jamaa kasema materials ni 4GB, kuiupload kwenye mtandao kwa computer zetu hizi na connectivity speed zetu, itakuwa ni shughuli haswa sio mchezo!.Mkuu,
Kwa hili naomba nitofautiane na wewe.
Sioni busara ya kuweka Audio tape haa jamvini ya kikao halali cha chama.
Ningeshauri utaratibu wa mmoja wetu kusoma na kutupatia briefing kama ambavyo FM ES huwa anafanya.
YY
Hiyo 4GB hawezi kui-upload. Mimi nilichotaka afanye ni kuweza kuonyesha authenticity ya anachotwambia. Aweke hata kidogo tu, just a-cut audio kiasi hivi dakika kama 3 hivi za speech inatosha sana kutufanya tuelewe na kumpa heshima from now on! Hii itanifanya nimvulie kofia tena kuliko hata wewe Pasco...Hakuna tatizo jamaa akiweka audio, labda tatizo ninaloliona mimi, jamaa kasema materials ni 4GB, kuiupload kwenye mtandao kwa computer zetu hizi na connectivity speed zetu, itakuwa ni shughuli haswa sio mchezo!.
FMES,- Waku samahani sana leo nina msiba mzito sana katika familia nimefiwa na shangazi ndio maana toka jana niko buzzy na simu za kuwasiliana na ndugu kuhusu mazish na msiba, lakini otherwise nitakapopata upenyo kidogo nitashika post za dataz huko ndani ya kikao on kinachojiri, as soon as possible,
- Dataz siku zote ni my commitment kwa wana-JF regardless of what. Tuvute subira kidogo!
Respect.
FMEs!
Inv, usimuunder estimate jamaa, kule nyuma amezungumzia recorders za kwenye peni, frame za miwani mpaka zile za kwenye sole za viatu.Mkuu YY,
I understand your concern mkuu... Jamaa hana bana!